Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Ninachompendea Dr. Harari ni jmkwamba, anafumbua macho kwenye mengi mapya na hata akiandika kuhusu mambo ambayo tayari unayajua, jinsi anavyoyaandika na kuyaunganisha, anavyoweka pamoja ushahidi kutoka nyanja tofautibza sayansi, hiatoria, baiolojia, sosholojia inapendeza sana.

Yes ,the future belongs to those who own data,don't mention the name of god in vain,Never estimate human ignorance (stupidity),
 
Jamaa kadata si mchezo.

I enjoyed this book thoroughly.

Kuna sehemu wakati anakua huko kwao South Africa aliwaingiza mjini watu kwamba yeye eti ndiye rapper wa Marekani Busta Rhymes.

Yani Trevor Noah na Busta Rhymes sura tofauti, lakini kalazimisha mpaka watu wakakubali yeye ni Busta Rhymes!

Aka rap uongo na kweli, watu wakakubali wamemuona Busta Rhymes kwenye concert.

Rafiki yake ndo aliwandanganya kuwa Trevor Noah ni hypeman wa Busta Rhymes....!
 
Thanks all for inspiring. Thanks Mwal. CT for the copy. This bored weekend will go smoothly with Steinbeck's East of Eden.
IMG_20191201_080120.jpeg
 
Richest man in Babelon is my favourite book for now.It consist of many ideas about entrepreneurial,bussiness,investment,trade,account,culture,social and others.Its good for youth and rich people,even for poor it will help you to rise up your profit

Kipindi nimepata ajira Mzee alinipa hiko kitabu. Kimenisaidia sana. “A tenth of your income is yours to keep”
 
Both Quantum Physics and Neuroscience fascinate me.

Namsoma Sean Caroll katika "The Big Picture:On the Origin of Life, Meaning and the Universe Itself"

Umekisoma "Behave: The Biology of Humans at Our Best and Worst" cha Dr. Robert Sapolsky ?

Baada ya kukisoma unajiona kama na wee unataka kucheza na amygdala vile.
Hapo kwenye Sapolsky's Behave Book tupo sambamba man. Ila mimi bingwa wa Audiobook.
 
Tao Te Ching -Lao tze

The cannon- Confucius

Secret doctrine- HPB

Sound of silence- HPB

Human, initiation and solar - Alice Bailey

Invisible helpers -

Morals and dogma of ancient and accepted Scottish rite - Albert pike

The stranger in the mirror - Sydney Sheldon

The zahir - Paulo coelho

Alchemist- Paulo coelho

Manuscript from Ghana - Paulo coelho

Veronica decides to die - Paulo coelho

French connection-

Learning the hard way - Yusuph akilimali

Feel the fear and do it anyway- Susan Jeffers

Feel the fear and beyond - Susan Jeffers

Bhagavag Gita -

Safari ya prosper -

Alfu lela ulela -

Aesop’s fables -

The mystery of human double -

Encyclopedia brittanica-[emoji16][emoji16][emoji16]

Kiu ya haki-

Marx, Engels, Lenin -

The 4 hour workweek -

The richest man in Babylon -

The monk who sold his Ferrari -

The art of not giving a **** -

Fuzzy thinking-

Philosophy na usanifu wa hoja tangu enzi za Plato hadi Nyerere -

Adili na nduguze - shaaban Robert




Nitarudi baadae....
Hapo kwenye Tao Te Ching[emoji111][emoji111][emoji111]
 
Audio books ni very simple sana kuvisoma unaweza kusikiliza huku unafanya kazi zako.ukitumia audiobook kwa mwaka unaweza kusoma hata vitabu 100
 
Back
Top Bottom