Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio


Me gani unaeka avatar ya lips,haya za nini sasa??vijana wa huko daslamu bwana![emoji23]
 
Mm sitaki kuteseka duniani na ahela. Yaani niiishi kwa shida kisa eti nampenda kidudu-mtu asiye na hela. Naanzaje kwanza? Ujana wako wa kimaskini peleka kuchanganya zege huko!!
Umempata huyo bwana mwenye hela au unambwata tu hapa
 
Kwa mawazo yako haya nahisi kabisa utateseka sana kuliko huyo maskini uliye mtaja hapa ,,,inaonyesha ni jinsi gani unauvivu kichwani mwako....
 
Me gani unaeka avatar ya lips,haya za nini sasa??vijana wa huko daslamu bwana![emoji23]
Ubinadamu kweli kazi, Baadaya kusoma nilicho andika we umetazama avatar yangu, vinahusiana vipi na uwanamme wangu, na wapi au Sheria gani ilinikataza kuweka lips kisa Mimi ni ME , Ila umenifikirisha kwenye ubidamu wetu na namna tuvyotazama mambo yetu ,ilibidi ungalie nilichoandika Ila umeona avatar, sawa lakini ndo ubinadamu na maamuzi yake!! Nini aone! , asante ndugu yangu. πŸ™
 
Mwanaume ana avatar ya lips??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…