Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

Ni mbaya sna mwanaume kupata mtoto wa kike bila kujipanga kimaisha , tunakuja kutoa Malaya kama mtoa mada , yeye anachoona cha ku ofa kwa mwanaume ni mbususu tu.
Exactly bro Mungu asaidie kazi ya mikono yetu
 
Uko sahihi.

Na wewe kijana, kama hujatafuta mali ni bora usioe. Sio kujidai kuoa oa na kuanza kutesa familia kuwalazimisha wale nguna na maharage kila siku. PUMBAVU!
Nadhani kwa mtazamo wangu sio suali la kuoa au kutooa bali ni suali la kuanzisha familia, maana kuna watu wengi hawajaoa lakini wana watoto kila pembe ya nchi. Ni bora mtu uhangaike mwenyewe bila ya kuleta kiumbe chengine duniani kije kuteseka nawe. Kama umeamua kuwa na mahasiano na mwanamke kumbuka kuvaa raba kila unapokwenda kwenye mechi kumbuka "no condom, no sex" policy!!!!
 
Binadamu wengi hasa waafrika ni wakatili na wenye roho mbaya sana, analeta viumbe wakati hana uwezo hata wa kuwalisha tu chakula, watoto wanavaa vinguo vimechanika yeye hajali, kila mwaka anamzalisha mkewe.

Ni roho mbaya na ukatili uliopitiliza.
 
Peleka matako kwa Waturuki wa Yapi Merkezy wakupe hela za bure
 
Vijana wa siku hizi wakikutongoza swali la kwanza unaishi kwako au umepanga inaonekana wanapenda sana mtelemko sana
 
Umenena vyema mleta post.

Ndoa na umasikini ni mateso matupu.
Duniani mwanamke anayeweza vumilia njaa hayupo...

Tafuta pesa kwanza,,
Ndoa baadae.
Watu wanasema tu hapa mkuu. Lkn ndoa nyinginzinasheki kwasabb ya umaskini. Furaha ya ndoa inakosekana kama hela hakuna
 
Vp Mr Bwegez? Hivi kwann yule mwanachuo alikuchinja kikatili namna hiyo?
Mkuu nilishaleta mrejesho humu muda mrefu,,

Kuna siku nimekutana nae yule demu wa chuo,,
amechoka balaa,,
Yupo na jamaa mmoja amevaa shati limepauka mgongoni katupia na suruali,,jamaa amekaza mkanda balaa,, hatà kiuno kikawa kidogo kama cha ngedere,,

Yule Mwana chuo nishapiga chini muda mrefu,,
Sasa Nina mtoto mbichi hatàri,, hajaanza hata kuongea maneno vizuri...

Mtoto lainiiiii ,,so cutest.

Tafuta Maisha mkuu,.,warembo wapo tu..

Kuoa na huna kitu ni sawa na kukumbatia mtungi wa gesi mbovu huku jiko linawaka.
 
Kaka pleaseeeee ni tag kwenye huo mrejesho. Plz
 
Vijana wakiwa vizuri kitandani wanahisi wamemaliza majukumu
 
Huyu kiumbe si juzi tu kadai anaenda kuwa na sharobaro ili wapige picha mzee wake sio photogenic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…