Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

Ila jinsia ya mtoa mada ni tata kidogo, siku zingine ni dume, wakati mwingine ni jike.
 
Umasikini ndio driving factor inayowasukuma wanawake wengi kuingia kwenye ndoa na sio kwamba wanajua nini maana ya ndoa. Wao maadamu una pesa tu na ukamuweka SAwa mama mkwe umebeba jiko. Thus mama mkwe kama anufaiki na ndoa ya binti yake yaani umefulia tambua upo kwenye traffic lights, mda wowote tu taa inaweza badilika.
Wanawake tuonee huruma sio KILA wakati tuna pesa wakati mwingine down ni nyingi lakini mkumbe na ups ipo pia.
Leo shida ni za kwako raha ya wote. Shida na raha ni kiapo kinachoishia mlongoni kanisani.
 
Kumbe! Mnatafuta kuinjoi mali za wenzio ambazo hamjui zimepatikana je! Kutafuta mali pamoja na kijana mwenzio mnakwepa eeh?
 
Akili zenu wote zinafanana ila ndo maana vijana wa ovyo wanawajaza then wanakula kona.
 
Kwanini mnafanya upendo/mapenzi yawe based and depending on material things??
Huwezi kumpenda mtu kwakua unampenda?
Ukiangalia kwenye familia nyingi anaependwa na kusikilizwa ni yule mwenye pesa. Sasa patia picha kwa watu wasio na undugu na wewe, hii dunia ya sasa upendo na material things vimegandana na mtu anaweza kukuvumilia akiona kuna dalili ya better days lakini nayo hii ina expiry date. Akikuona unaendelea kuwa hopeless anaondoka

Siamini katika kuwathamini watu kutokana na vitu wanavyomiliki Ila ndio dunia ya sasa ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…