Dexta
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 2,096
- 5,211
Labda anamaanisha kuolewa uke wenza.wazee siwasha oa?au wanaruhusiwa kuongeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda anamaanisha kuolewa uke wenza.wazee siwasha oa?au wanaruhusiwa kuongeza
Kakurupuka tu huyu dada. Kaandika kwa ajili ya kupata reaction ya members tuSwali konki sana
Hawezi kujibu chochote, kwasababu Nia yake ni kupata attention ya watu tu[emoji3] hana la kukujibu , umemaliza mkuu
Mambo ni mengi muda machache😂
😘😘😘😘😘🤗🤗Hahahaah sawa mkuu.
Aaaah so funnyyani mimi ningekuwa wa kwanza kama mambo yangekuwa marahisi hivyo maishani kabisa.
🤣🤣🤣nawasivyo penda sasa.Labda anamaanisha kuolewa uke wenza.
Kumbe! Mnatafuta kuinjoi mali za wenzio ambazo hamjui zimepatikana je! Kutafuta mali pamoja na kijana mwenzio mnakwepa eeh?Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.
Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.
Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.
Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?
Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.
Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini hisababisha magonjwa ya kizembe na ku.pelekea mtu kufa kizembe.
Usikubali kuolewa na maskini.
😅😅😅😅 Watu wanaandikaga tu wanachojiskia,Nakazia Sana Sana Sana umeanalyse vyema Kama jina lako
Akikujibu nishtueKipindi unawaza hivyo, ukiacha papuchi, ni value gani unaenda kuadd kwenye hiyo ndoa/mahusiano?
Mademu wapo depressed😅😅😅😅 Watu wanaandikaga tu wanachojiskia,
Ukiangalia kwenye familia nyingi anaependwa na kusikilizwa ni yule mwenye pesa. Sasa patia picha kwa watu wasio na undugu na wewe, hii dunia ya sasa upendo na material things vimegandana na mtu anaweza kukuvumilia akiona kuna dalili ya better days lakini nayo hii ina expiry date. Akikuona unaendelea kuwa hopeless anaondokaKwanini mnafanya upendo/mapenzi yawe based and depending on material things??
Huwezi kumpenda mtu kwakua unampenda?