DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ni uelewa MdogoUkiangalia kwenye familia nyingi anaependwa na kusikilizwa ni yule mwenye pesa. Sasa patia picha kwa watu wasio na undugu na wewe, hii dunia ya sasa upendo na material things vimegandana na mtu anaweza kukuvumilia akiona kuna dalili ya better days lakini nayo hii ina expiry date..
Siamini katika kuwathamini watu kutokana na vitu wanavyomiliki Ila ndio dunia ilipo
Wamekulia kwenye umaskini, badala wapambane,wanataka mselelekoMademu wapo depressed
Ni lini uchi ukampa Mtu Maisha yenye constistence!!😀
😂😂😂Uko sahihi.
Na wewe kijana, kama hujatafuta mali ni bora usioe. Sio kujidai kuoa oa na kuanza kutesa familia kuwalazimisha wale nguna na maharage kila siku. PUMBAVU!
Sawa Sawa mm maskin pia sjawaza kbsa kuoa kabla sna pesa naangalia watt wang wasije ish maisha ya ovyo umeongea ukweli kbsa umaskin mbayaMaisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.
Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.
Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.
Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?
Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.
Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini hisababisha magonjwa ya kizembe na ku.pelekea mtu kufa kizembe.
Usikubali kuolewa na maskini.
Zaidi ya kikojoleo hana msaada mwingineKakurupuka tu huyu dada. Kaandika kwa ajili ya kupata reaction ya members tu
Sifa za masikini unazijua ?Sawa Sawa mm maskin pia sjawaza kbsa kuoa kabla sna pesa naangalia watt wang wasije ish maisha ya ovyo umeongea ukweli kbsa umaskin mbaya
Mwenyew mnyonge, baba ako mganga njaa halafu unataka uolewe na mwenye helaSubiri wanaume maskini waje wakupopoe ukome.
Pesa sio kila kitu ila muhakikishe zipo za hapa na pale.
Huo ni Ujinga sasaKwanini mnafanya upendo/mapenzi yawe based and depending on material things??
Huwezi kumpenda mtu kwakua unampenda?
Sawa, ukiachana na hiyo "****" uliyonayo una kitu gn cha ziada mpaka uolewe na tajiri?Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.
Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.
Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.
Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?
Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.
Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini hisababisha magonjwa ya kizembe na ku.pelekea mtu kufa kizembe.
Usikubali kuolewa na maskini.
Umeandika kwa uchungu sana kimekusibu nini hasa?Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.
Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.
Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.
Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?
Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.
Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini hisababisha magonjwa ya kizembe na ku.pelekea mtu kufa kizembe.
Usikubali kuolewa na maskini.
Huo sasa utakuwa wendawazimu😂😂😂Huwezi kumpenda mtu kwakua unampenda?
Wenye maisha duni mna makasiriko sanaSasa si ukajiuze tu na hiyo k yako nani wa kukuoa bila kuwa na mchango wowote?