Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

Ukiangalia kwenye familia nyingi anaependwa na kusikilizwa ni yule mwenye pesa. Sasa patia picha kwa watu wasio na undugu na wewe, hii dunia ya sasa upendo na material things vimegandana na mtu anaweza kukuvumilia akiona kuna dalili ya better days lakini nayo hii ina expiry date..

Siamini katika kuwathamini watu kutokana na vitu wanavyomiliki Ila ndio dunia ilipo
Ni uelewa Mdogo
Sana
 
Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.

Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.

Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.

Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?

Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.

Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini hisababisha magonjwa ya kizembe na ku.pelekea mtu kufa kizembe.

Usikubali kuolewa na maskini.
Sawa Sawa mm maskin pia sjawaza kbsa kuoa kabla sna pesa naangalia watt wang wasije ish maisha ya ovyo umeongea ukweli kbsa umaskin mbaya
 
Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.

Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.

Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.

Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?

Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.

Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini hisababisha magonjwa ya kizembe na ku.pelekea mtu kufa kizembe.

Usikubali kuolewa na maskini.
Sawa, ukiachana na hiyo "****" uliyonayo una kitu gn cha ziada mpaka uolewe na tajiri?

Kwa taarifa yako matajiri hatuoi takataka za aina hii
 
Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.

Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.

Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.

Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?

Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.

Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini hisababisha magonjwa ya kizembe na ku.pelekea mtu kufa kizembe.

Usikubali kuolewa na maskini.
Umeandika kwa uchungu sana kimekusibu nini hasa?
 
Mimi ni ME, Ila hatupaswi kumtukana huyu mleta mada kwa sababu kasema mawazo yake na napenda tuyaheshimu , alitaka Mzee mwenye pesa sawa duniani tumepewa Uhuru wa kuchagua , kama haitaki siye vijana tusio na kitu sawa, Mungu humpa kila mja mtu wake hata yeye atampata wa kwake masikini au tajiri hatujui Ila tukumbuke Mungu ni mkubwa kuliko mawazo yetu. Wacha HATMA iyamue ,wakubwa watanielewa.
 
Umepotea sana.. kumbe ulipata jiko au ulipatwa?.. pole kwa yaliyokusibu..

Ila kuna topic na ni wewe.. nimecheka sana 😅😅😅
 
Back
Top Bottom