Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

The right person is right in terms of what if not money possession?
 
Subiri wanaume maskini waje wakupopoe ukome.


Pesa sio kila kitu ila muhakikishe zipo za hapa na pale.
Pesa imesababisha mwanamke kuwa chombo cha starehe. Wengi waliopenda pesa wameuza utu wao na kuonekana hawana thamani kama binadamu.
Kuna wanawake mpk wanafanyishwa mapenzi na mbwa kwasababu ya pesa.
Kaangalie series ya Squid game ndiyo utajifunza zaidi.
 
Tutakuwa Kama le mutuz tu!!
Ni mwendo wa bebez tu mpaka uzeeni you know.

Bomaa yeee

Bata bataz from my home downtown getting breakfast from a 5 star hotel in Masaki you know. American spirit...

Papa Mobimba boma yee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hata ex wangu alisimamia hayo unayoyasema, chaajabu saizi ananitafuta japo sijajua Hali ikoje huko alikofata Mali na maisha ya starehe.
 
na mimi nasema sitaoa bonge nyanya wala mwanamke masudi sura mbaya
 
Mimi naona tufanye application ya kanuni pendwa ya fermists ile ya 50/50 olewa na mwanaume ambae mnalingana uwezo kama kakupita basi iwe kidogo sana yaani sio zaidi ya nusu ukitaka mwenye gari nawe uwe nalo, ukitaka mwenye myumba nawe uwe nayo, ukitaka tajiri nawe uwe tajiri au sio dada angu?
 
kwingine kote umejitahidi,ila hapo kwenye ,,tajiri hana cha kumuomba mungu zaidi ya kumshukuru ndo umechemka,,matajiri wana matatizo mazito ambayo pesa haiwezi tatua,zaidi ya mungu tu,,,kila binadamu duniani ana tatizo linalomkaba na linahitaji kutatuliwa na mungu tu,hata wewe uliyeandika uzi huu,una tatizo linalohitaji msaada wa mungu tu..
 
na mimi nasema sitaoa bonge nyanya wala mwanamke masudi sura mbaya
Hapo watakwambia mbaguzi sijui uzuri wa mwanamke sio sura na blabla kibao ila ngoma ikija upande wao wanataka mwenye hela hawajui kama wanawabagua wasio na hela
 
Fact hawa vijana kero tupu ukiomba 10,000 wanaingia mitini
Mm sitaki kuteseka duniani na ahela. Yaani niiishi kwa shida kisa eti nampenda kidudu-mtu asiye na hela. Naanzaje kwanza? Ujana wako wa kimaskini peleka kuchanganya zege huko!!
 
Mm sitaki kuteseka duniani na ahela. Yaani niiishi kwa shida kisa eti nampenda kidudu-mtu asiye na hela. Naanzaje kwanza? Ujana wako wa kimaskini peleka kuchanganya zege huko!!
Kwani ww ni jinsia gani?juzi ulifungua uzi ukilalamika unalalamika demu wako kaenda kwao hapokei simu, leo unalalamika bora uolewe na Mzee mwenye pesa zake...au ndo Tomboy?
 
uzuri wa mambo miaka yenu kama maziwa na miaka yetu kama wine... dada endelea hivyo hivyo kuchagua

usimcheke bibi kizee nae alikuwaga kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…