Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa imesababisha mwanamke kuwa chombo cha starehe. Wengi waliopenda pesa wameuza utu wao na kuonekana hawana thamani kama binadamu.Subiri wanaume maskini waje wakupopoe ukome.
Pesa sio kila kitu ila muhakikishe zipo za hapa na pale.
Ndo anacho maanishaSo ni bora ut*mbwe na mzee?
Tutakuwa Kama le mutuz tu!!
Ni mwendo wa bebez tu mpaka uzeeni you know.
Bomaa yeee
Mimi naona tufanye application ya kanuni pendwa ya fermists ile ya 50/50 olewa na mwanaume ambae mnalingana uwezo kama kakupita basi iwe kidogo sana yaani sio zaidi ya nusu ukitaka mwenye gari nawe uwe nalo, ukitaka mwenye myumba nawe uwe nayo, ukitaka tajiri nawe uwe tajiri au sio dada angu?Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.
Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.
Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.
Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?
Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.
Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini husababisha magonjwa ya kizembe na kupelekea mtu kufa kizembe.
Usikubali kuolewa na maskini.
kwingine kote umejitahidi,ila hapo kwenye ,,tajiri hana cha kumuomba mungu zaidi ya kumshukuru ndo umechemka,,matajiri wana matatizo mazito ambayo pesa haiwezi tatua,zaidi ya mungu tu,,,kila binadamu duniani ana tatizo linalomkaba na linahitaji kutatuliwa na mungu tu,hata wewe uliyeandika uzi huu,una tatizo linalohitaji msaada wa mungu tu..Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.
Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.
Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.
Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?
Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.
Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini husababisha magonjwa ya kizembe na kupelekea mtu kufa kizembe.
Usikubali kuolewa na maskini.
Hapo watakwambia mbaguzi sijui uzuri wa mwanamke sio sura na blabla kibao ila ngoma ikija upande wao wanataka mwenye hela hawajui kama wanawabagua wasio na helana mimi nasema sitaoa bonge nyanya wala mwanamke masudi sura mbaya
😅😅😅😅Na papuchi yenyewe unaweza kuta ni marapurapu kama utumbo wa mafungu pale vingunguti
UxxxxFact hawa vijana kero tupu ukiomba 10,000 wanaingia mitini
HoHata ex wangu alisimamia hayo unayoyasema, chaajabu saizi ananitafuta japo sijajua Hali ikoje huko alikofata Mali na maisha ya starehe.
Mm sitaki kuteseka duniani na ahela. Yaani niiishi kwa shida kisa eti nampenda kidudu-mtu asiye na hela. Naanzaje kwanza? Ujana wako wa kimaskini peleka kuchanganya zege huko!!Fact hawa vijana kero tupu ukiomba 10,000 wanaingia mitini
MamboSubiri wanaume maskini waje wakupopoe ukome.
Pesa sio kila kitu ila muhakikishe zipo za hapa na pale.
Kwani ww ni jinsia gani?juzi ulifungua uzi ukilalamika unalalamika demu wako kaenda kwao hapokei simu, leo unalalamika bora uolewe na Mzee mwenye pesa zake...au ndo Tomboy?Mm sitaki kuteseka duniani na ahela. Yaani niiishi kwa shida kisa eti nampenda kidudu-mtu asiye na hela. Naanzaje kwanza? Ujana wako wa kimaskini peleka kuchanganya zege huko!!
uzuri wa mambo miaka yenu kama maziwa na miaka yetu kama wine... dada endelea hivyo hivyo kuchaguaMaisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.
Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.
Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.
Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?
Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.
Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini husababisha magonjwa ya kizembe na kupelekea mtu kufa kizembe.
Usikubali kuolewa na maskini.
UPDATES;
Nimesoma comments zenu zote. Lakini nasema hivi "Mm sitaki kuteseka duniani na ahela. Yaani niiishi kwa shida kisa eti nampenda kidudu-mtu asiye na hela. Naanzaje kwanza? Ujana wako wa kimaskini peleka kuchanganya zege huko!!"