Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

Hahahaha
 
Dah,, maeneo mengi ya miji ya mbeya ukitoka hatua kidogo tu kutoka barabara kuu unakutana na mitaa ya hali ya chini kuanzia mpangilio Hadi status ya maisha. Lakini hii Ni kwa maeneo mengi ya miji ya nchi yetu. Sijui ndo maana tunauswahili mwingi sana. Tunalundikana barabarani tu halaf kazi hamna zaidi kuonglea maisha ya watu.
 
Hapo namba nne umenena vyema
 
Hapana, makao makuu ni Dar es Salaam...
 

1 Mwanza
2 Morogoro
3 Mbeya
 
Ahsante mkuu
 
NI DODOMA IPI UNAYOSEMA?
MBEYA IWE MAKAO MAKUU KWA SABABU YA UWEPO WA STAREHE?
KUONYESHA UKOMAVU, FUTA HII POST
 

Kuna mwaka walikuwa na agenda ya kujitenga
 
mbeya kwa dodoma itasubiri sana.
 
Ni
Ningekua nakujua ningekununulia hata sidaπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…