Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

Naipenda Mbeya ila Mbeya is no better.

Hizo pubs zenyewe Mbeya pazuri, City pub na Mwailubi ni utopolo mtupu. Majina makubwa ukifika utachoka huwezi kukaa hata dakika 5.

Mbeya hakuna viwanja classic. Hizo clubs ni more of vilabu vya pombe than clubs. Kifupi Mbeya hakuna nightlife.

Zamani ilikuwepo Pamodzi sijui iliishia wapi?

Mbeya service ndogo tu hakuna unaweza tafuta kitu cha kawaida kabisa mji mzima na ukakosa utasikia hadi tuagize Dar.

Naipenda Mbeya ila ule mji hauendelei kabisa.
 
Kitu gani hicho ulitafuta hakipo Mbeya ikiwa Scania tuu Wana branch yao pale?
 
Haters kama Kawa huwa hamkosekani 👇



 
Ukoroofiiiii
 
Ni bora makao makuu ya nchi yangepelekwa TORONTO "Tabora"
 
Reactions: EEX
Wapi kuna status ya maisha kubwa? Nataka jibu tulinganishe maana Mbeya ni mkoa namba3 Tzn kwa kuwa na watu wenye Hali nzuri kimaisha.
 
Mbeya hii ambayo ikifika saa mbili mji wote kimya, wakati mwingine tuache chuki dodoma ya sasa hakuna asiyeipenda.

DeepPond embu tia neno basi dear
 
Mwamba ngoma, ngozi huivutia kwake!
 
Kwa mawazo yake anafikiri hutolewa kwa wingi wa kelele na kurukaruka labda!
Hawa ndo tuliokuwa tukiwaongelea dakika chache zilizopita
 
Mbona mikoa mnayoizungumzia ni ya ovyo? Kama Bukoba ingelifanywa mkoa! Makao makuu yakawa pale ingelipendeza sana!!
Kesho tu tungelifika uchumi wa kati!
 
Wapi kuna status ya maisha kubwa? Nataka jibu tulinganishe maana Mbeya ni mkoa namba3 Tzn kwa kuwa na watu wenye Hali nzuri kimaisha.
Kwenye upande wa status ya maisha, vyakula na uweza wa kumudu gharama za maisha ni kweli angalau mbeya kidogo unafuu upo. Ila kwenye mpangilio wa mitaa, na makazi kiukweli bado. Nyumba za kuishi angala Kuna unafuu japo ndoivo wengi akishamaliza zungusha tofali ndo Basi, finishing na mambo mengine yanasahaulika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…