The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Taja wapi wamepangilia vizuri acha blaa blaaKwenye upande wa status ya maisha ni kweli angalau mbeya kidogo unafuu upo. Ila kwenye mpangilio wa mitaa, na makazi kiukweli bado. Nyumba za kuishi angala Kuna unafuu japo ndoivo wengi akishamaliza zungusha tofali ndo Basi, finishing na mambo mengine yanasahaulika.
Sasa ulikua unaishi mwasanga ulitegemea usiku kuchangamke . Mbeya kwanzia uyole mpaka mbalizi hakuna kulalaMbeya hii ambayo ikifika saa mbili mji wote kimya, wakati mwingine tuache chuki dodoma ya sasa hakuna asiyeipenda.
DeepPond embu tia neno basi dear
Uzi unalinganisha dodoma na mbeya. Dodoma angalau unaafadhali.Taja wapi wamepangilia vizuri acha blaa blaa
Msoma ya wapi mtu mlaini hivyomama huyu Bujibuji Simba Nyamaume si tulkubaliana n wa Msoma huyu[emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Huo ndio uongo sasa manabii wamama si wapo usukumani Mwanza?.Mbeya pamezidi uhovyo. Jiji lina zaidi ya miaka 30 lakini utadhani limetangazwa kuwa jini jana!!!
Jiji ambalo kila mtu ni nabii hadi wamama duh!!!
Makao makuu ya serikali yanatakiwa kuwa hivyo mji ulio tulia wenye nafasi na utulivu mkubwa siyo vurugu za kibiasharaNimefika dodoma toka juzi
Hawachangamki
Hwaongei
Wala hawacheki
Dodoma sio mji wa kibiashara
Dodoma sio mji uliochangamka
Dodoma kuna wagogo ambao hawajui shughuli yao maalumu ni ipi
Dodoma hamna kitu
Nimefika dodoma hamna sehemu ya starehe ambayo watu wanakosa seat za kukaa ata ukifika sa 6 usiku unapata seat sehemu maalumu za starehe
Bora Mbeya uje uone kulivyo changamka
Mbeya pazuri
City pub
Mwailubi
Ni raha tupu
Bora mbeya
Niwapongeze kwa nyama choma mpo vizuri ila vingine hamna kitu...
Dodoma haifai kua makao makuu ya nchi wagogo wamelala mnoo
Magufuli pia alikulupuka kujenga eneo lote lile kwaajili ya stand yamebaki magofu tuu sijui ndimo alimokua napigia pesa kwa kampuni yake ya ukandarasi
Eneo la stand la ndugai ni kubwa mnoo lulingana na uhalizia jamaa alifuja pesa saana
View attachment 2215992
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Kitu gani hicho ulitafuta hakipo Mbeya ikiwa Scania tuu Wana branch yao pale?
[emoji1787]
Utaendelea kuishi kwenye zama za Giza Hadi lini?Vitu vingi sana, kuna mwaka nilitafuta a colored printer nilikosa karibu stationery zote.
For 2yrs straight kuna mtu namjua anatafuta parts za gari lake Land rover Mby hamna hadi kaagiza mikoani japo hazikufit ila Mby hata za kujaribu tu alikosa. Infact Mbeya hakuna gereji hata moja I mean hata moja ya maana zote za kuunga unga tu kuanzia kwa Lena kule Mbalizi hadi Soweto.
Ukiacha swimming pool ya pale JM na Utengule kuna swimming pool nyingine Mby?
Ukitoa ile gym ya kienyeji pale Soweto kuna gym nyingine yenye hadhi Mby?
Viwanja vya michezo je? Bball najua bonanza pale mjini toka 90s hadi pamechoka, kipo kingine? Vya mpira wa miguu je achana na Sokoine ambayo nayo imechoka mbaya. Kuna golf course hata moja Mbeya?
Vp movie theatre?
Supermarket Mby ni kale ka store pale sheli Infinity zamani oilcom 😀 supermarket sio jambo la msingi ila Mby kuna hata a decent market kweli ambayo mtu unaweza pata vitu mbalimbali bila bugudha kweli?
Mbeya mjini ni wapi kule Uhindini au Mwanjelwa maana kote kupo kupo tu.
Kuna hata 4-star hotel in Mby?
Mambo mengine yanaweza kuonekana as petty ila ndo huduma zinazofanya jiji kuwa jiji.
Mkuu mambo ni mengi sana nayoweza kuorodhesha, naijua Mby nje ndani. Pamoja na yote naipenda Mbeya nikipata nauli nitakuja 🤣
Hii ni Busokelo bila shaka?
Tuko Nyuma SanaBy the way,tusitake miji mizuri huku wa kuitengeneza hayo majiji na sisi.Vipato vya Watanzania vinaendana na majiji yetu.
Ukienda tu hapo Nairobi ukilinganisha na Dar,unaweza ukasema Dar ni kijiji.
Mji kama Nakuru ambapo ni wa 4 kwa pale Kenya,inaizidi hata Mwanza ambapo ni Jiji letu la Pili.umaskini mbaya sana.
Mbona ni kama hapa Mbalizi tu? Yaani ndio manispaa hapo ya Mtwara?Ndiyo hiyo hiyo, huoni kama inaizidi Mbeya?
Mbeya ni mji mzuri uliosahaurika makusudi kwa sababu ya siasa za KipinzaniMbeya ni mji wa hovyo sana, hauna hadhi ya kuitwa jiji hata kidogo, bora hata Mtwara
SawaHii ni Busokelo bila shaka?
Acha wivuMbeya pamezidi uhovyo. Jiji lina zaidi ya miaka 30 lakini utadhani limetangazwa kuwa jini jana!!!
Jiji ambalo kila mtu ni nabii hadi wamama duh!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]do! hili umenikumbusha niliingia mgahawa mmoja wa kawaida kunywa chai sukari ikawa imeisha muhudumu akang'ata kwa meno kufungua pakiti ya sukari wakati nashaa mwingine akawa anatumia tena meno kufungua pakiti ya majani ya chai