Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Yakikosekana maji si viroba tu, Bali wote mtakufa! Kuna watu wajinga sana nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao watu wengi walikuwa wanafanyaje hadi wauliwe?
Wadanganye hao hao,Salaam Wakuu,
Nape Nnauye aliwahi kusema "Bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi".
Kuna utawala uligubikwa na Sintofahamu ya Watu kupotea, kufa, kubambikiziwa kesi.
Utawala uliteneza kundi la watu wasiojulikana ambao kazi yao ilikuwa kumshughulikia yoyote atakayekuwa na Mawazo mbadala au kuhoji matumizi ya fedha za Serikali.
Tukamuomba Mungu na kusoma albadiri ili atuepushie na kikombe kile, Mungu akasikia maombi yetu
Sasa leo kuna watu wamekosa maji na umeme kwa siku kadhaa wanatamani kurudi utumwani Mungu alikotutoa na wanamlaumu Mungu kwanini katutoa kule ambapo mtu alikuwa hajui kesho yake kama ataamka salama. Mbona vijijini watu hawana Umeme na Wanaishi? Itakuwa huu umeme wa kukosa mwezi mmoja ndo utamani kurudi Misri? Jipe moyo Utashinda
Hata Wana wa Israel walipookolewa Misri utumwani walitamani kurudi huko. Ndo hawa wanaotamani kurudi tulikotoka.
Nawatia Moyo, tulieni tuiunge Mkono Serikali na Mamlaka yake kwani Mamlaka ya Serikali yanatoka kwa Mungu. Giza likiwa nene kunakalibia kupambazuka
KUTOKA 14:11
11 Wakamwambia Mose, “Je, hapakuwa na makaburi ya kutosha nchini Misri hata ukatuleta tufie huku jangwani? Mbona umetutendea haya, kwa tututoa katika nchi ya Misri?
12Je, hatukukuambia mambo haya tulipokuwa bado Misri? Tulikuambia utuache tuendelee kuwatumikia Wamisri. Ingalikuwa afadhali kuwatumikia Wamisri kuliko kufia huku jangwani.”
13Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.
14Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu.”
15Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kwa nini mnanililia? Waambie Waisraeli waendelee mbele.
16Inua fimbo yako na kuinyosha juu ya bahari. Maji yatagawanyika na Waisraeli wataweza kuvuka katikati ya bahari mahali pakavu.
Viongozi wetu washainua Fimbo juu, tutavuka salama
Ujinga ujinga tu, utavumiliaje kukosa maji katikati ya Jiji!!Salaam Wakuu,

Sasa msihalalishe huu udhaifu wa kukosa umeme na maji kwa kukumbusha mambo yaliyopita, ni kweli kwamba jamaa alifanya uhalifu na mambo yasiyofaa, ila isiwe kichaka, tunataka maji na umeme wa uhakika.
Nacho maanisha ni kama waliona anafanya makosa ni kwa nini hawakujiuzulu kujiweka kando na uhalifu anaotuhumiwa bwana yule, bado na wao wanahusika tuuKijana nenda kapitie katiba vzr, then utajua nguvu alizopewa Rais kikatiba
Hatari zaidi ni kuwa na mtawala dikteta, halafu mtawala huyo dikteta awe aliwahi kuugua magonjwa ya akili. Na magonjwa ya akili, kama tunuavyo hayaponi kwa 100%.Bora mtu katili mwenye upeo na uelekeo wa wapi taifa liende kuliko kilaza mwenye huruma asiye na maarifa yoyote zaidi ya kuwa remote controlled.
Nja inatangazwa?Bora mama kuliko yule muuwaji na hata wakati wa muuwaji njaa ilikuwepo ila wakuu wa wilaya walitishwa wakaambiwa ole wako utangaze wilaya yako ina njaa! Wakaufyata! Tukija kwenye umeme pia ulikuwa unakatika kama kawaida na tanesco wakaacha kufanya matengenezo ili tu kulazimisha umeme uwake kiufupi lile dubwana bora Mungu kalitowesha!
Siku hizi hata taarifa ya habari kahuna anayeangalia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa inakera sana.
waliokuwa wakiokotwa kwenye viroba hawakuwa hata na ndugu. Sijui alikuwa anawaua kutoka nje ya nchi?Hebu tuulizane kitu kimoja, hao watu waliyokuwa wanauliwa katika utawala uliyopita walikuwa ni kundi gani la watu kwa maana ni wananchi tu wa kawaida? Waaandishi wa habari? Wanasiasa? Wafanya biashara au ni kundi gani hasa?
Hapa napoandika Tanesco washafanya yao muda huu huu.