At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Next time.Hivi Mungu afanye nini mpaka muelewe? Mwendazake alikuwa ni COVID-19 denier kuanzia uwapo wa ugonjwa, kuchukua tahadhari na kutumia masks na vaccines.
Yeye mwenye na timu yake ambayo ilikuwa Ina muabudu wamekufa kwa COVID-19 hiyo hiyo. Namaanisha Eng Kijazi, yule msaidizi, Magufuli mwenyewe na Mfugale.
Na akiwa expose watu wengine bila tahadhari nao wakafa kama Mkapa, Agustino Mahiga, Ndassa nk.
Bado tu una underestimate makali ya COVID-19 na kumuabudu marehemu aliyekufa kwa ugonjwa huo huo??
Hujafuatilia! Maambukizi uingereza yalishuka hadi pungufu ya 1000 kwa siku!! Ilikuwa waondoe Kabisa lockdown mwezi juni. Ghafla maambukizi yakaanza kupanda hadi 7000 kwa siku pamoja na watu wengi kuwa wamechanjwa! Wakaamua kuahirisha kuondoa lockdown yote hadi tareje 19/07/2021 wakitegemea kuwa kasi ya maambukizi itakuwa imeshika kwa wakati huo. Kinyume chake maambukizi hayakushuka na yakaendelea kupanda hadi jana maambukizi kwa siku yalikiwa 38,000 na vifo takriban 30.Nimesoma hii Habari, wamefungua kutokana na mafanikio ya kinga! Sasa sijui wewe hii habari ni Vipi!
Tuwekee hapa ushahidi kuwa chanjo inazuia maambukizi!! Wao wenyewe wamesema haizuii ila "eti inasaidia mtu asiugue kiasi cha kulazwa" Huu ni uongo, kupata maambukizi na kutokulazwa ndio kawaida, zaidi ya asilimia 97 ya walioambukizwa walipona wenyewe bila chanjo na bila kulazwa! Fuatilia takwimu duniani kuhakiki hill!Nimesoma hii Habari, wamefungua kutokana na mafanikio ya kinga! Sasa sijui wewe hii habari ni Vipi!
Sawa mgonjwa wa ndui au tetekuwanga akipona haugui tena, sasa kwa nini mgonjwa wa covid akipona bado anahitaji chanjo? Au antibody ni tofauti?Acha povu: Maambukizi uingereza yalishuka hadi chini ya 1000 kwa siku. Yakaanza kupanda hadi 7000 na wakaamua kusogeza mbele tarehe ya kuondoa Kabisa lockdown kutoka June hadi tarehe 19 July huku wakiongeza kasi ya kuchanja. Lakini maambukizi hayakushuka lakini yakawa yanaongezeka kila siku sambamba na kuongezeka kwa vifo kila siku hadi kufikia Jana maambukizi yakawa 38,000!! Na wenyewe wamesema yataendelea kuongezeka tu na hadi yatafika 100,000 kwa siku!! Kwa hiyo inabidi wakubali matokeo na kukubali kuishi na corona!! Wamesema wenyewe na siyo Mimi!!
Sasa nikuulize, kama 70% haikutosha kukinga jamii je hiyo target ya covax ya kuchanja 20% itatosha? Haihitaji kwenda shule kujua kuwa hapa kuna watu wanataka kulazimisha kitwanga maji kwenye kinu!! Hilo zoezi ni upotevu wa rasilimali na dili kwa mabeberu
Tangu utaalamu Wa chanjo utokee duniani kazi yake ni kukinga na kuzuia ugonjwa husika. Hutakaa usikie mtoto aliyechanjwa chanjo ya ndui amepatwa na ugonjwa Wa ndui!! Wala hutakaa usikie aliyewahi kuugua ndui halafu akapona, akaugua tena ugonjwa Wa ndui!!
Hii chanjo ya corona ILIPOBUMA yakatafutwa maelezo ya uongo ya kuitetea ili waendelee kuitumia kupiga pesa!! Kazi ya chanjo si kupunguza makali ya ugonjwa bali ni kuzuia ugonjwa. Kama haizuii basi imekosa sifa ya kuitwa chanjo!!
Tuwekee hapa ushahidi kuwa chanjo inazuia maambukizi!! Wao wenyewe wamesema haizuii ila "eti inasaidia mtu asiugue kiasi cha kulazwa" Huu ni uongo, kupata maambukizi na kutokulazwa ndio kawaida, zaidi ya asilimia 97 ya walioambukizwa walipona wenyewe bila chanjo na bila kulazwa! Fuatilia takwimu duniani kuhakiki hill!
Umeiandika vizuri. Ni summary safi. Tunatumaini sasa hiyo kamati teule yetu ya mapambano dhidi ya gonjwa hili wataelewa na kubadili misimamo yao.Uingereza ndilo Taifa pekee duniani lililofanikiwa kuchanja watu wake kwa zaidi ya asilimia 70. Lakini maambukizi yàliendelea kuongezeka kila siku na kwa Jana mambukizi mapya yalikuwa 28,000, na vifo vipya karibuni 30. Wemefikia hapo huku bado wako kwenye taratibu kadhaa za lockdown ambazo wanatazamia kuziondoa tarehe 19 mwezi huu was saba.
Imefika mahali wakakubali kuwa kama chanjo, na lockdown zimeshindwa kuwakinga basi inabidi wakubali kuishi na corona kama wanavyoishi na magonjwa mengine!
Kama kuchanja asilimia 70 haikufua dafu kuzuia corona, je mpango wa covax wa kuchanja watu asilimia 20 kwa ñchi zilizojiunga na mpango huo una tija ipi? Hauna faida yoyote zaidi ya matumizi mabaya ya rasilimali fedha.
Mara 100 hiyo fedha wangeiwekeza kwenye utafiti zaidi ili waje wapate chanjo sahihi itakayoweza kuwakinga watu kwa uhakika kama ilivyo chanjo ya ndui!!
Kwa bahati mbaya sana mabeberu pamoja na kukiri kuwa chanjo haizuii maambukizi bado yanataka kuitumia kupiga pesa tena kwa kulazimishà! Natamani viongozi wetu wawe na uwezo wa kusema hapana!
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji125]Hii Nyumbu watabisha tu kwasababu akili zao ziwekwa store na Macho kumchuzi.
Huku mtaani kuna wazee kibao hawavai barakoa wala kuchukua tahadhari zozote na wanajimix tu na vijana kwenye mikusanyiko ila hadi sasa hawajaumwa corona, sasa huyo Magufuli corona aliipata wapi?Hivi Mungu afanye nini mpaka muelewe? Mwendazake alikuwa ni COVID-19 denier kuanzia uwapo wa ugonjwa, kuchukua tahadhari na kutumia masks na vaccines.
Yeye mwenye na timu yake ambayo ilikuwa Ina muabudu wamekufa kwa COVID-19 hiyo hiyo. Namaanisha Eng Kijazi, yule msaidizi, Magufuli mwenyewe na Mfugale.
Na akiwa expose watu wengine bila tahadhari nao wakafa kama Mkapa, Agustino Mahiga, Ndassa nk.
Bado tu una underestimate makali ya COVID-19 na kumuabudu marehemu aliyekufa kwa ugonjwa huo huo??
Unahitaji kuwa mtalaamu wa suala husika kuweza kupata takwimu husika.Kaka sijui unapata habari zako wapi?
1. Si kweli kwamba Uingereza wamechanja asilimia kubwa kushinda nchi zote. Nchi kama Israel, Chile hata Mongolia ziko mbele.
2. Si kweli kwamba wamechanja asilimia 70, namba halisi ni mnamo 50%.
Shujaa aendeleee kupumzika kwa amani.Kama ilivyofanya Marekani miezi mitatu iliyopita, Julai 19, ni zamu ya Uingereza kulegeza mashariti ya kujikinga na COVID19 baada ya kugundua chanjo na barakoa hazina msaada wowote.
Rais wetu mpendwa, mzalendo na.1 , mwalimu, mkemia Daktari JPM alilegeza mashariti toka mwaka 2020...alionekana mwendawazimu lakini leo maamuzi yake yanachukuliwa kwa umakini na dunia.
Wallah wote humu JF tutakufa...na haitatokea kupata rais shujaa na imara kama JPM.
Nina ku qoute instantly na kukuita popoma. Don't threaten me, if you can't stand the heat get out of the kitchen. ImbecileNext time.
Naomba usiniquote Tafadhali.!
Hilo tatizo lako.Nina ku qoute instantly na kukuita popoma. Don't threaten me, if you can't stand the heat get out of the kitchen. Imbecile
Magufuli alipata corona kwenye mikutano yake ya kuzindua mabarabara, mastendi na madaraka. Mbwa yule akaidharau sana COVID 19 na ikamtenda At CalvaryHuku mtaani kuna wazee kibao hawavai barakoa wala kuchukua tahadhari zozote na wanajimix tu na vijana kwenye mikusanyiko ila hadi sasa hawajaumwa corona, sasa huyo Magufuli corona aliipata wapi?
Nyie misukule bado mnamuabudu yule mtu DIKTETA tumezika Chato, kama mnampenda sana kufeni na nyinyi. To hell with cheerleaders of the satanHilo tatizo lako.
Huwezi changia bila matusi you idiot.
Ndio maana sitaki tufike mbali..! Tukakosena adabu. You get me nigga.
We jamaa you have a rotten mind.Nyie misukule bado mnamuabudu yule mtu DIKTETA tumezika Chato, kama mnampenda sana kufeni na nyinyi. To hell with cheerleaders of the satan
Sasa mbona hawa wazee huku vijiwe vya kahawa na masokoni hatuoni kupata corona?Magufuli alipata corona kwenye mikutano yake ya kuzindua mabarabara, mastendi na madaraka. Mbwa yule akaidharau sana COVID 19 na ikamtenda At Calvary
Kasome basi hata biology ya Form II itakusaidia. Hata mbu wanaweza wakawauma watu wote waliopo sehemu moja lakini siyo wote wakapata malariaSasa mbona hawa wazee huku vijiwe vya kahawa na masokoni hatuoni kupata corona?
Sina uhakika unalenga nini.Unahitaji kuwa mtalaamu wa suala husika kuweza kupata takwimu husika.
1.Mtu kuchanjwa (to be vaccinated) haimaanishi ndiyo kapata kinga (get immunized). Wapo wanaochanjwa lakini hawapati kinga kutegemea na efficacy ya chanjo (vaccine) husika. Hakuna vaccine yenye 100% efficacy. Hizo zilizotumiwa na waingereza zinadaiwa kuwa na efficacy ya 80% hadi 90%. Maana yake asilimia 10% hadi 20% waliopata chanjo kamilifu (full vaccination) hawatapata kinga. Na hao 80% hadi 90% watakaopata hiyo kinga, muda wa kudumu nayo hiyo kinga haijulikani inakisiwa kuwa ni miezi 3 hadi 6. Hivyo inamaanisha kwamba kila miezi 6 zoezi zima la uchanjaji lifanyike. Kumbuka chanjo hizi ni ghari. Kila chanjo ni USD 35 kwa dose moja na ili kupata chanjo kamili unahitaji chanjo mbili. Tanzania ina watu million 60. Haya zidisha $ 70 × 60,000,000 kupata USD zinazohitajika halafu zidisha exchange rate ya 2,300 kupata TSh tutakazotumia au kukopeshwa kuchanja kila mtu. Utaona ni zaidi ya bajeti yetu ya Mwigulu Nchemba!
2.Takwimu sahihi za uchanjaji huko Uingereza hadi tarehe 4 Julai zilikuwa hivi:
Target yao ni 60% full vaccination, ambayo ndiyo ratio ya kisayansi inayohitajika kupata herdimmunity na kutokomeza any epidemic. Imeonekana wazi kuwa hiyo herdimmunity kupitia chanjo hizi ni jambo ambalo haliwezekani. Hivyo hii phase iv trial ya hizi chanjo limekamilika, bahati mbaya matokeo yake yamekuwa hasi. Tunasubiri tafiti ya chanjo aina tofauti kama tunavyosubili ile ya virusi vya HIV. It may take 100 years.
- At least one dose 68.0%
- Fully vaccinated 50.6%
Takwimu za uchanjaji kwenye nchi ndogo ya kijeshi ya Israel ambayo population yake ni watu million 8 tu, inazidiwa kwa mbali na Burundi ni kama ifuatavyo hadi tarehe 5 Julai:
Hivyo utaona hakuna tofauti yo yote kati ya nchi hizi mbili kiuchanjaji. There is no significant statistical difference even by the student test. Kumbuka population ya UK ni kubwa kuliko hata ya Tanzania. UK wana watu million 68.
- At least one dose 62.6%
- Fully vaccinated 57.2%
-
Tumia akili ya wastani. Wazee unaoona sokoni ni wazima - bado. Wakiwa wagonjwa hawafiki tena sokoni.Sasa mbona hawa wazee huku vijiwe vya kahawa na masokoni hatuoni kupata corona?
Asante sana Mwanamkiwi kwa hoja nzito dhidi ya wapuuzi wanao down play uwapo wa COVID 19 na prevention yake.Sina uhakika unalenga nini.
Kusudi la chanjo ni kuokoa uhai. Walio hatarini ni
a. wazee b. watu waliodhoofika (mfano kutokana na magonjwa, udhaifu wa kinga)
Hao ndio watu waliokufa kwa idadi kubwa kwenye nchi za kaskazini. Walikufa pia hapa, isipokuwa idadi ya wazee ni ndogo TZ. Halafu wengi wao wanaishi vijijini, ni watu ambao hawasafiri sana, jinsi kwa jumla watu wa vijijini hawasafiri sana. Halafu wanaishi mazingira isiyofungwa, hali inayopunguza uwezekano wa kuambukizwa.
Hadi sasa nchi nyingi za Afrika zimepita vizuri kiasi kwa sababu 1) mfumo wa umri wa wananchi una wazee wachache; 2) watu wengi wako vijijini ambako hawakutani na watu wengi 3) sehemu kubwa ya maisha hutokea nje au angalau katika nyumba zisizofungwa
Ila virusi aina mpya kama ya Delta ni kali zaidi.
Kwa hiyo ni busara -kama uwezo wa chanjo kwa wote haupo- kuchanja angalau wazee, wafanyakazi wa sekta ya afya, polisi, viongozi
Sijui umechukua wapi hoja matokeo ya chanjo hadi sasa ni hasi???? Kila takwimu ninayoona inaonyesha kinyume. Chanjo zinafanya kazi, zinaokoa maisha, zinawezesha hata wazee kurudi maisha ya kawaida.