Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #21
Makapuku ni wale wanaoomba michango mikutanoni, japo Karamagi na genge lake walikuwa wameshawahonga.Yeye mwenyewe ni kapuku wa kutupwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makapuku ni wale wanaoomba michango mikutanoni, japo Karamagi na genge lake walikuwa wameshawahonga.Yeye mwenyewe ni kapuku wa kutupwa
hayo mapumbavu hata usijibizane nayo kistarabu twanga vilivyo mpaka upumbavu uyatoke.Mkuu mnashangilia sana ila nina uhakika asilimia 100 ndugu zako wako wanao teseka sana kwa sababu ya upuuzi wa watawala wa CCM walio pita na waliopo sasa, ila mnajitia upofu na kushabikia ujinga, Binafisi ndugu zangu wana maisha magumu kijijini huko yanayo sababishwa na hawa watawala na hakuna siku moja nitakubaliana na upuuzi wao na hakuna hata siku moja nitashangilia
ni bora kuomba michango mikutanoni kuliko kuwa makuwadi ya warabu koko dpworld kama wewe na huyo mamayenu samia.Makapuku ni wale wanaoomba michango mikutanoni, japo Karamagi na genge lake walikuwa wameshawahonga.
Moyo mnapeana nyie makuwadi ya dpworld mliokuwa mnadanganyana eti na hili litapita, kama hamjui mamayenu kwishaaa habar yake mjiandae kumsindikiza kibandamaiti 2025.Hata mimi nimeshangazwa na alichoandika jamaa. Acha wapeane moyo tu.
Ametukanwa na wewe huna cha kufanya mbali na ukuwa wako kwa warabu koko na hao waliokamatwa watatoka mashujaa huku wew na wapumbavu wenzio mkipotea hata jf.Kwahiyo watu waachiwe tu wamtukane mkuu kuwa ana akili za matope kisa wakikamatwa wanaweza kufia mikononi mwao?
Mbona kina Tibaijuka, Pengo na wengine wengi wamemkosoa mkuu kistarab kuhusu mkataba na hawakuguswa?
Tatizo mdomo uliponza kichwa, walivyokuwa wanatukana na kumdhihaki mkuu huku watu wanacheka na mkuu yupo kimya wakaona kwamba wao ndio wenye haki ya kuongea chochote, sehemu yoyote na muda wowote, bila kupima wala kuangalia athari za maneno yao.
Watu wanashinda kesi za mauwaji sembuse uhain, tatizo lenu nyie makuwad ya warabu ni ujinga mlionao na kukosa elimu ndio maana mnafikir kushtakiwa kwa uhain ni kama vile kitu cha ajabu kisa ujinga na upumbavu wenu, kwa taarifa yenu nyie makuwadi ya warabu hilo ni igizo na hakuna atakayethibitisha hio kesi na baada ya muda mtaficha nyuso zenu humu jf na mimi nitaendelea kuwatwanga hapahapa siku hio kesi hao wajinga wenu watakaposhindwa kuendelea nayo.Kesi ya Uhaini ni sinema?
Matusi unayapima wewe na familia yako, nenda kawashitaki hao waliokuwa wanazunguka kanda ya ziwa tuone kama utafanikiwa kuwadi la warabu koko dpwod wewe.Maombi yako ni mazuri, ila kuna mtu au watu hawakuyaona ndomaana walikuwa wanazunguka kanda ya ziwa na maeneo mengine ya nchi kumtukana mkuu kwamba ana akili za matope.
Waliona wakiongelea mkataba tu bila kuingiza matusi wasingeeleweka.
Hata wasipoachiwa moto uko palepale na wakiachiwa moto wa bandari ndio utaongezeka zaidi, cha msingi makuwadi ya warabu koko dpworld yajiandae kwa moto mpya na hii ngoma haitazima leo wala kesho nawataarifu makuwadi ya samia na warabu koko.Wao wanaikandia serikali,na moto wao umekua mkali sana,hivyo serikali iwape kashikashi,then baadae itawaachia.Soma mchezo chief.
Tukisikia puu ujue imekupata, nilielenga ninashabaha sijafanya makosaMatusi unayapima wewe na familia yako, nenda kawashitaki hao waliokuwa wanazunguka kanda ya ziwa tuone kama utafanikiwa kuwadi la warabu koko dpwod wewe.
Keyboard warrior umeshindwa kuzuia wasikamatwe.Hata wasipoachiwa moto uko palepale na wakiachiwa moto wa bandari ndio utaongezeka zaidi, cha msingi makuwadi ya warabu koko dpworld yajiandae kwa moto mpya na hii ngoma haitazima leo wala kesho nawataarifu makuwadi ya samia na warabu koko.
Nazikumbuka kesi za uhaini wakati wa Mwalimu Nyerere zilikuwa zikichukua miaka mingi sana zilikuwa unazisikia uko darasa la pili mpaka unafika form four zinaendelea tuHata mimi nimeshangazwa na alichoandika jamaa. Acha wapeane moyo tu.
Povu la nini ngoja uone kigagula wako atakavyo hifadhiwa store kwa miongo mingiWatu wanashinda kesi za mauwaji sembuse uhain, tatizo lenu nyie makuwad ya warabu ni ujinga mlionao na kukosa elimu ndio maana mnafikir kushtakiwa kwa uhain ni kama vile kitu cha ajabu kisa ujinga na upumbavu wenu, kwa taarifa yenu nyie makuwadi ya warabu hilo ni igizo na hakuna atakayethibitisha hio kesi na baada ya muda mtaficha nyuso zenu humu jf na mimi nitaendelea kuwatwanga hapahapa siku hio kesi hao wajinga wenu watakaposhindwa kuendelea nayo.
Walivyoona wanatukana bila kushikwa, wakavimba kichwa na kuamua kupanga uhaini kwa kupitia maneno yao wenyewe wakiamini pia na hilo wasingeshikwa.Nazikumbuka kesi za uhaini wakati wa Mwalimu Nyerere zilikuwa zikichukua miaka mingi sana zilikuwa unazisikia uko darasa la pili mpaka unafika form four zinaendelea tu
Labda ni mke wa mwabukusi huyo mkuu, ndomana ameonekana kuumia kuliko mtu yoyote.Povu la nini ngoja uone kigagula wako atakavyo hifadhiwa store kwa miongo mingi
Kwakweli sijaona Mwabukusi akipendekeza Nchi ipinduliwe labda aliongea kwa simu na ninachojua mimi simu huwa zinasikilizwa sana na kitengoMwabukusi
Tangu lini hao askari wakawa na uhusiano na Karamagi (Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera)? Au hujui Karamagi anaunga mkono uuzaji wa bandari Dubai?Boss Karamagi, Prof Tibaijuka (mama wa vimboga mboga vya milioni 10) na wakwepa kodi wengine wa bandari, tafadhalini jitokezeni kuwasaidia Askari wenu.
Wanafiki Kama wewe walikuwepo kipindi gesi inauzwa, mkawacheka waliokuwa wakipinga gesi isiondoke. Leo gesi imeuzwa , wananchi wanatozwa tozo maana serikali haina pesa. Endeleni kishangilia DP world shida ikija, mnajificha Kama hamkuwepo.Nauliza kama boss ana taarifa, au habari inayohusu kamata kamata ya askari wake?
Kama anayo taarifa, je amechukua hatua gani kuwasaidia, au ukishamlipa mtu akufanyie kazi basi litakalompata huko mbeleni ni juu yake?
Au askari wake wamevuka mipaka ya kile alichowaagiza, kwa kuanza kumshambulia mkuu kwa njia ya matusi, na kupanga mambo maovu dhidi yake badala ya hoja?
Boss Karamagi, Prof Tibaijuka (mama wa vimboga mboga vya milioni 10) na wakwepa kodi wengine wa bandari, tafadhalini jitokezeni kuwasaidia Askari wenu.
Maana walipokuwa wakimtukana mkuu, mlifurahi na kuwapongeza, badala ya kuwaonya mapema kuhusu athari ya matusi yao.
Ukimya wa mkuu ulifanya wasahau kuwa wao wameshika makali, na mkuu ameshika mpini. Acha wagombanie panga tuone nani atakatika vidole.
Wengine wamesahau kuwa kila mchuma janga hula na wa kwao tu. Sasa hivi Karamagi anafuatilia tukio radioni tu na familia yake, masikio baridi kabisa.
Hakuna kesi ya kumfunga mtu hapo. Uhaini mnaujua au mnausukia redioni.Povu la nini ngoja uone kigagula wako atakavyo hifadhiwa store kwa miongo mingi
Kupendekeza mapinduzi yafanyike?Hakuna kesi ya kumfunga mtu hapo. Uhaini mnaujua au mnausukia redioni.