Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #61
Zee la hovyo sana lile, bora likashikwe shikwe makalio huko jela, maana huku uraiani halikuwa na faida yoyote zaidi ya usnitch tu kwa wenzake.Anaenda kupigwa kitanzi hivihivi anajiona labda familia yake ikagalegale magogoni na kumuomba Raisi Samia Suluhu asisaini hati ya kumyonga ili kifungo cha maisha.