Bosi anasemaje kuhusu mkasa huu wa kukamatwa Askari wake?

hayo mapumbavu hata usijibizane nayo kistarabu twanga vilivyo mpaka upumbavu uyatoke.
 
Ametukanwa na wewe huna cha kufanya mbali na ukuwa wako kwa warabu koko na hao waliokamatwa watatoka mashujaa huku wew na wapumbavu wenzio mkipotea hata jf.
 
Kesi ya Uhaini ni sinema?
Watu wanashinda kesi za mauwaji sembuse uhain, tatizo lenu nyie makuwad ya warabu ni ujinga mlionao na kukosa elimu ndio maana mnafikir kushtakiwa kwa uhain ni kama vile kitu cha ajabu kisa ujinga na upumbavu wenu, kwa taarifa yenu nyie makuwadi ya warabu hilo ni igizo na hakuna atakayethibitisha hio kesi na baada ya muda mtaficha nyuso zenu humu jf na mimi nitaendelea kuwatwanga hapahapa siku hio kesi hao wajinga wenu watakaposhindwa kuendelea nayo.
 
Maombi yako ni mazuri, ila kuna mtu au watu hawakuyaona ndomaana walikuwa wanazunguka kanda ya ziwa na maeneo mengine ya nchi kumtukana mkuu kwamba ana akili za matope.

Waliona wakiongelea mkataba tu bila kuingiza matusi wasingeeleweka.
Matusi unayapima wewe na familia yako, nenda kawashitaki hao waliokuwa wanazunguka kanda ya ziwa tuone kama utafanikiwa kuwadi la warabu koko dpwod wewe.
 
Wao wanaikandia serikali,na moto wao umekua mkali sana,hivyo serikali iwape kashikashi,then baadae itawaachia.Soma mchezo chief.
Hata wasipoachiwa moto uko palepale na wakiachiwa moto wa bandari ndio utaongezeka zaidi, cha msingi makuwadi ya warabu koko dpworld yajiandae kwa moto mpya na hii ngoma haitazima leo wala kesho nawataarifu makuwadi ya samia na warabu koko.
 
Matusi unayapima wewe na familia yako, nenda kawashitaki hao waliokuwa wanazunguka kanda ya ziwa tuone kama utafanikiwa kuwadi la warabu koko dpwod wewe.
Tukisikia puu ujue imekupata, nilielenga ninashabaha sijafanya makosa
 
Hata wasipoachiwa moto uko palepale na wakiachiwa moto wa bandari ndio utaongezeka zaidi, cha msingi makuwadi ya warabu koko dpworld yajiandae kwa moto mpya na hii ngoma haitazima leo wala kesho nawataarifu makuwadi ya samia na warabu koko.
Keyboard warrior umeshindwa kuzuia wasikamatwe.

Toka juzi nchi imetulia, aliekuwa anatoa kauli za ushuzi sasa hivi analala darini, hatapiki tena ushuzi kama siku zilizopita.
 
Povu la nini ngoja uone kigagula wako atakavyo hifadhiwa store kwa miongo mingi
 
Nazikumbuka kesi za uhaini wakati wa Mwalimu Nyerere zilikuwa zikichukua miaka mingi sana zilikuwa unazisikia uko darasa la pili mpaka unafika form four zinaendelea tu
Walivyoona wanatukana bila kushikwa, wakavimba kichwa na kuamua kupanga uhaini kwa kupitia maneno yao wenyewe wakiamini pia na hilo wasingeshikwa.

Mbeleji na mwenyekiti wake walikaa kimya kuhusu kauli hizi za kihaini, maana waliuona mwisho wake utavyokuwa mbaya.

Mwabukusi na wenzake wakaingia kichwa kichwa ili kujitafutia umaarufu uchwara. Sasa wataupata kupitia kesi ya kupanga mapinduzi.
 
Wanafiki Kama wewe walikuwepo kipindi gesi inauzwa, mkawacheka waliokuwa wakipinga gesi isiondoke. Leo gesi imeuzwa , wananchi wanatozwa tozo maana serikali haina pesa. Endeleni kishangilia DP world shida ikija, mnajificha Kama hamkuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…