Bosi wa Toyota ajiuzulu kupisha mabadiliko ya kampuni kuingia kwenye Magari ya Umeme

Changamoto nyingine ni hili ulilolizungumzia.
Haswa changamoto kubwa ni viongozi wetu na watunga sera wetu.
Nadhani bado wapo kwenye ujima, na wapo bado kwenye usingizi, bado Kwenye fikra zao hakujapambazuka.

Labda ufahamu wangu ni mdogo sana lakini kwa kweli sijaweza kuona ubaya wowote kwenye uraia pacha.
Binafsi naona ilikua ni fursa adhimu sana kwa sababu aliyetoka nje kuna nuru fulani ameipata.

Ukiangalia taifa letu miaka hii ya 2020 na ile miaka 1970 unaweza ukaona ni heri miaka ile ambayo kulikua na viwanda vinavyozalisha kwa vingi na vingi vikiwa property ya Tanzania.
Tofauti na sasa, ambapo dunia inakimbia kwa kasi sana kwenda mbele kwa teknolojia na maarifa makubwa sisi badala yake tunakimbia kurudi nyuma tena kwa kasi sana .

Kama wasomi, na wataalamu waliopo hapa nchini wangekua na uthubutu na maono na nia pengine tungekuwa tunaongea vinginevyo, lakini kila mtu anaona.

Dhania yangu tungeweza sana kusaidiwa na diaspora kwa kiasi kikubwa kama tungekuwa na nia ya kupata msaada wao katika muktadha mzima wa maendeleo.
Nakumbuka sana miaka ya 60 na 70 wakati bado kulikuwa na harufu ya mkooloni
Nakumbuka kulikuwa na umeme wa kutosha hata katika ofisi za wilaya na hospitali zote hata baadhi ya barabara

Kulikuwa na maji mitaani ya bure na manyumbani tulikuwa na meters za kulipia kila mwezi

Yaani hela ilikuwa na thamani kiasi kuwaona wakulima wanaendesha gari ilikuwa jambo la kawaida sana

Leo mkulima anahangaika akivuna hata hata akiba zaidi ya madeni

Mkuu nalia kwa uchungu jinsi washenzi walivyoibadilisha nchi yetu kutoka kwenye uaminifu na kuleta Sera za rushwa na unyang'anyi nasema Sera kwa sababu ndio mfumo tuliofundishwa baada ya viwanda kufa na maisha kubadilishwa kuwa ya ubabe, wizi , dhulma na kutokuwa na uwajibikaji
Leo mwizi anahamishwa na kupelekwa sehemu nyingine

Hawataki kujua corruption officers katika jeshi la police wala uhamiaji

Kila mmoja anakula kwa urefu wa kamba yake
Je ndio maisha tulijiamulia haya?
Na je hawajiulizi ni maisha mazuri?

Leo kuna watu wanasema ooh nchi imeingiliwa na kupenyeza majirani
Usalama uko hatarini
Huwa nacheka sana
Hao wazalendo wako wapi wa kuilinda nchi na kuacha rushwa?

Hivi kuna siku mkulima atakuja kuendesha V8? Maana zamani gari zilikuwa Peugeot na walikuwa nazo

Aisee naona mradi siku ziende tu
Eti hawataki dual citizenship ni kwa sababu wanajifanya ujuaji na kusema wao wakisema hivi sisi tunasema hapana hata kama hakuna sababu
 
Huyo new CEO kama ndio alisimamia Lexus basi anastahili na nina imani atawavusha, ile gari matata sana, dashboard ni kama uko kwenye ndege na finishing yake ya ndani , wood yake ni top notch
Lexus ni luxurious division ya toyota ila ni toyota ileile. Ndiomaana unakuta baadhi ya magari ya toyota yana lexus version yake. Mfano harrier lexus yake ni "lexus rx.." altezza ni "lexus is.." etc..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yakija kuisha hayo madini tunarudi kwenye dizeli. Maana hata watengenezaji wa simu nao wanagombania.
Kuna tech za Battery bora zaidi kushinda hizi, ila siku zote mabepari wanaangalia faida, watatumia hizi battery za sasa zikiisha watahamia sasa hayo material mengine.
 
Yakija kuisha hayo madini tunarudi kwenye dizeli. Maana hata watengenezaji wa simu nao wanagombania.
Wamekuja na tech nyingine kupunguza matumizi ya metals like nickel or cobalt ambazo ni rare and expensive , wanatumia LFP (lithium,iron and phosphate) madini ambayo yako mengi sana na yanapatikana karibu nchi zote , cant predict lakini sioni kama tunaweza kurudi kwenye diesel
 
Magari ya mafuta yameanza kupigwa ban kwenye baadhi ya sehemu duniani
Mpaka sasa hamna nchi hata moja iliyopiga ban magari ya mafuta kwa 100%. Nchi nyingi zilipanga 2023 nyingine 2025 ila inaonekana watasogeza hio ban kulingana na changamoto iliopo kwa magari ya umeme.

Ila toyota wao ndio wanaongoza kwa kua na magari ya nishati nyingi zaidi. Wana magari ya umeme, ya mafuta (ICE), plug in hybrids, hydrogen ICE na hydrogen fuel cell. So huyo CEO Akio Toyoda alisema wao wataendelea kutengeneza magari kulingana na soko linavohitaji... nchi nyingi za Afrika na Australia haziko tayar kwa magar ya umeme kimiundombinu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekuja na tech nyingine kupunguza matumizi ya metals like nickel or cobalt ambazo ni rare and expensive , wanatumia LFP (lithium,iron and phosphate) madini ambayo yako mengi sana na yanapatikana karibu nchi zote , cant predict lakini sioni kama tunaweza kurudi kwenye diesel
Madini wanayotumia kwa sana ni lithium na cobalt. Lithium ni madini adimu mpaka tesla (kampun ya marekani) wananunua madini hayo Australia. Toyota landcruiser 300series zilicheleweshwa uzalishwaji kwasabab ya uhaba wa madini... na ndio, sioni kama tutarudi kwenye disel tukishatoka. Ila changamoto bado ipo; tunatokaje kwenye diesel kwa 100%? Kuna magari ya migodini yale kwa technologia ya sasa huwez kuweka full EV. Malorry ya masafa marefu nayo EV inakua impractical.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa hamna nchi hata moja iliyopiga ban magari ya mafuta kwa 100%. Nchi nyingi zilipanga 2023 nyingine 2025 ila inaonekana watasogeza hio ban kulingana na changamoto iliopo kwa magari ya umeme.

Ila toyota wao ndio wanaongoza kwa kua na magari ya nishati nyingi zaidi. Wana magari ya umeme, ya mafuta (ICE), plug in hybrids, hydrogen ICE na hydrogen fuel cell. So huyo CEO Akio Toyoda alisema wao wataendelea kutengeneza magari kulingana na soko linavohitaji... nchi nyingi za Afrika na Australia haziko tayar kwa magar ya umeme kimiundombinu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nchi chache za Ulaya ndo wana kiherehere cha kuwa na magari mengi ya umeme.

Wateja wa mabara mengine wananunua for hobby.

Adoption ya magari ya umeme kwa 100% itachukua miaka kama 100 hivi kufikia.
 
Yeah ni kweli. Hata wamerakani wao niliona kwenye takwimu moja hivi... wanasema kua idadi ya magari yote yaliopo sasa kwenye nchi yao ukigeuza kua ya umeme kutakua hakuna umeme wa kutosha kuyamudu... sasa hio ni marekani. Nchi kama bongo tutaweza kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah ni kweli. Hata wamerakani wao niliona kwenye takwimu moja hivi... wanasema kua idadi ya magari yote yaliopo sasa kwenye nchi yao ukigeuza kua ya umeme kutakua hakuna umeme wa kutosha kuyamudu... sasa hio ni marekani. Nchi kama bongo tutaweza kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia teknolojia ya betri inakuwa njema kila siku.

Sidhani kama tuna ile teknolojia bora zaidi tuseme tuitegemee dunia nzima.
 
Li iko kidogo sana duniani hali
Wamekuja na tech nyingine kupunguza matumizi ya metals like nickel or cobalt ambazo ni rare and expensive , wanatumia LFP (lithium,iron and phosphate) madini ambayo yako mengi sana na yanapatikana karibu nchi zote , cant predict lakini sioni kama tunaweza kurudi kwenye diesel
Li iko kidogo sana haifikishi hata miaka hamsini mbele.
Kwa sasa wanafanyia tafiti Na ambayo imejaa baharini huko. Na bado changamoto ni nyingi sana mpk Na iweze kutumika ila sidhani kama italazimu kurudia diesel mpk Li iishe Na itakuwa imeshaanz kutumika.
 
Kweli mkuu tatizo lake alipiliza na kusahau malengo yake yalikuwa nini na anatupeleka wapi?

Anyway hayo yamepita na tumejifunza na atakumbukwa kwa mengi kama Rais aliejaribu

Mkuu nilikuwa naangalia YouTube kuhusu watu walioondoka ulaya au Amerika na kurudi kuwekeza Africa kweli kuna nchi nyingi wanawekeza ambazo wanakubali dual citizenship na wamewekeza miradi mikubwa mikubwa

Imagine mimi nimekaa miaka 35 [emoji636] na ninakaribia kustaafu nitahitaji kuja kuwekeza Africa na kuwa na sehemu ya kumalizia umri wangu

Unafikiri nikirudi nyumbani nitapokelewa kama mtoto wa nyumbani? Hasha mimi nitaitwa majina ya kila aina

Ila wenzetu ukiangalia hadi raha wanavyopokelewa na kupewa mashamba makubwa makubwa na wana invest pakubwa na kuajiri wazawa kibao

Nawajua wengi sana waliorudi Botswana, Kenya, Uganda, Ghana na wengine
Mkuu hebu imagine wakigusia dual citizenship utasikia ooh kwa sababu wakubwa watoto wao wana uraia

Hivi kiongozi mkubwa wanafikiri watoto wao hawana passport mbili?
Na wanaingia na kutoka na wakikaa huko wana passport ya huko?

Hata Rwanda anatushinda amekubali

Ghana mwaka 2019 waliwaita diaspora na kuwapa ardhi kubwa sana wawekeze na kweli walirudi wengi sana na kuwekeza kwenye kilimo na mifugo

Sasa mimi nikilipwa malupulupu yangu nije kuishi kwetu kama mkimbizi? Na hela ninazo si bora nikawekeze Botswana sasa ambapo nitalindwa na mali zangu 24/7?
Mbona ardhi Kwa mzawa wa tz sio tatizo mkuu, unataka eka ngapi , Niko southern tz ardhi ya kumwaga
 
Unaskia wivu mwenyewe
Haya, nawe njoo ufanywe nnachofanya utapewa 😂😂😂😂😂

Sawa eeeeeh
We mwanamke umekuwa na mambo ya ajabu sana toka huu mwaka uanze. Iko wapi ile hekima uliokuwa nayo ikakufanya wa mfano?
 
Changamoto nyingine ni hili ulilolizungumzia.
Haswa changamoto kubwa ni viongozi wetu na watunga sera wetu.
Nadhani bado wapo kwenye ujima, na wapo bado kwenye usingizi, bado Kwenye fikra zao hakujapambazuka.

Labda ufahamu wangu ni mdogo sana lakini kwa kweli sijaweza kuona ubaya wowote kwenye uraia pacha.
Binafsi naona ilikua ni fursa adhimu sana kwa sababu aliyetoka nje kuna nuru fulani ameipata.

Ukiangalia taifa letu miaka hii ya 2020 na ile miaka 1970 unaweza ukaona ni heri miaka ile ambayo kulikua na viwanda vinavyozalisha kwa vingi na vingi vikiwa property ya Tanzania.
Tofauti na sasa, ambapo dunia inakimbia kwa kasi sana kwenda mbele kwa teknolojia na maarifa makubwa sisi badala yake tunakimbia kurudi nyuma tena kwa kasi sana .

Kama wasomi, na wataalamu waliopo hapa nchini wangekua na uthubutu na maono na nia pengine tungekuwa tunaongea vinginevyo, lakini kila mtu anaona.

Dhania yangu tungeweza sana kusaidiwa na diaspora kwa kiasi kikubwa kama tungekuwa na nia ya kupata msaada wao katika muktadha mzima wa maendeleo.
Tanzania ukionekana exceptional tu kuna kitu wanakufanya, yani ni kama unafomatiwa akili huwezi sikia tena muendelezo wa hio project ng'o... Mfano hai ni Masoud Kipanya alipokuja na mfumo wa gari la umeme. Badala ya kuungwa mkono nadhani ilitafutwa namna ya kumnyamazisha kabisa na aachane na hio biashara mara moja.

Mfano mtu kama Elon Musk hapa nchini serikali ingemkata mbawa mapema mno... Kana kwamba anafanya mambo ya hatari sana yasio na viwango hivyo aache mara moja. Hao ndio CCM na upeo wao ulipoishia. Wao uza juisi ya miwa, mananasi au maji ya kandoro huwa hawana shida na hilo ila kufanya kitu chochote exceptional ni vita.
 
We mwanamke umekuwa na mambo ya ajabu sana toka huu mwaka uanze. Iko wapi ile hekima uliokuwa nayo ikakufanya wa mfano?

Mambo ya ajabu unayoyaona kwangu na mimi nayaona kwako
Unataka Mimi niwaze kama unavyowaza! Itawezekana wapi🙄
 
Nakumbuka sana miaka ya 60 na 70 wakati bado kulikuwa na harufu ya mkooloni
Nakumbuka kulikuwa na umeme wa kutosha hata katika ofisi za wilaya na hospitali zote hata baadhi ya barabara

Kulikuwa na maji mitaani ya bure na manyumbani tulikuwa na meters za kulipia kila mwezi

Yaani hela ilikuwa na thamani kiasi kuwaona wakulima wanaendesha gari ilikuwa jambo la kawaida sana

Leo mkulima anahangaika akivuna hata hata akiba zaidi ya madeni

Mkuu nalia kwa uchungu jinsi washenzi walivyoibadilisha nchi yetu kutoka kwenye uaminifu na kuleta Sera za rushwa na unyang'anyi nasema Sera kwa sababu ndio mfumo tuliofundishwa baada ya viwanda kufa na maisha kubadilishwa kuwa ya ubabe, wizi , dhulma na kutokuwa na uwajibikaji
Leo mwizi anahamishwa na kupelekwa sehemu nyingine

Hawataki kujua corruption officers katika jeshi la police wala uhamiaji

Kila mmoja anakula kwa urefu wa kamba yake
Je ndio maisha tulijiamulia haya?
Na je hawajiulizi ni maisha mazuri?

Leo kuna watu wanasema ooh nchi imeingiliwa na kupenyeza majirani
Usalama uko hatarini
Huwa nacheka sana
Hao wazalendo wako wapi wa kuilinda nchi na kuacha rushwa?

Hivi kuna siku mkulima atakuja kuendesha V8? Maana zamani gari zilikuwa Peugeot na walikuwa nazo

Aisee naona mradi siku ziende tu
Eti hawataki dual citizenship ni kwa sababu wanajifanya ujuaji na kusema wao wakisema hivi sisi tunasema hapana hata kama hakuna sababu
Yote haya ni Nyerere.
 
Back
Top Bottom