Ramon Sanchez
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 767
- 1,850
Ukim-bana tajiri, anayeumia ni masikini. Acha ushamba.mjomba angeendelea kuwepo wangeita maji mma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukim-bana tajiri, anayeumia ni masikini. Acha ushamba.mjomba angeendelea kuwepo wangeita maji mma
Ukiwa na jala ni kitu iko sure 😀 wala wanawake hawagombaniNaona gharib aliamua kuwakutanisha viburudisho vyake vitatu kwa mpigo, bi salha, omarius na jukthi.
Hekalu lake kalifungua wakati wa Mzee wakomjomba angeendelea kuwepo wangeita maji mma
Sijawahi Ona tajiri mwenye mke mnene
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] omarius ni shemeji yake. Ila juksiiii ni kitoweo chake, na kiunganishii ni omarious.Naona gharib aliamua kuwakutanisha viburudisho vyake vitatu kwa mpigo, bi salha, omarius na jukthi.
makoro mna shida nyieKama Pesa zimekubagua kwanini na wao wasikubague
Ukibaguliwa na pesa hata Mbuzi barabarani nao watakubagua
utopoloHekalu lake kalifungua wakati wa Mzee wako
subiria muda wa michango ufike upewe taharifa piaInapendeza na ahsante kwa taarifa...
Kwahyo avatar yako na hyo rangi yako Versus yangi ya wenye shughuli yao aka gsm unadhan zinalandana?Hili linaonekana wazi kabisa lakini tuvumilie maana pesa ni zao
Na ukute hao wawili ni wake wenza wa anayefanyiwa Birthday[emoji2960]Hii sherehe hakualikwa mbongo hata mmoja!!! Weusi ni waimbaji tu (Jux na Dimpoz) [emoji16]
Wanasema Lilia bahati usililie uzuri
Afadhali hata unawaona wafanyakazi wana furaha pamoja si kiivyo!TAJIRI bakharesaa tu....hawa wengiene Asalama alaeko wakina mo*
[emoji28][emoji28]Na nyie muwabague.
Misemo kama hiyo ni ya wanawake malimbukeni ,Misemo hiyo ni nyinyi kwa nyinyi WASWAHILI, sio hao [emoji23][emoji23][emoji23]
😁 Mbaka unawaza , au kweli hakuna mungu..izi video ukiangalia mtu unaanza kuwaza umemkosea nini mungu.