Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

GSM na SILENT OCEAN qualification kuu ya kupata kazi na nafasi nzuri ni rangi yako 😊

Nenda uone majority ya wenye nafasi nzuri ni watu wa aina gani? Ukiwa mswahili utaishi kwa ngama sana! Anyways! Heri ya kuzaliwa kwa mke wa tajiri wa kwanza mpenda mitandao na show-offs... anajiita "MRS GSM" 😊😊😊

Na inawezekana hii sherehe kubwa na makamera na wasanii ni forcefully ya huyo mwanamke. Mshawahi kuona mke wa Rostam, Mangu, Bakhressa, Mufuruki, the late Mzee Mengi, Shubash Patel au wale matajiri wa Shinyanga, Zanzibar na Arusha wana hizi mambo?!

Wanawake bana🙌🏾
 
Back
Top Bottom