BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

Ukitaka kujua jinsi Mtu mweusi alivyo na matatizo pitia huu uzi.
Una shida, Unakopa, hutaki kulipa!
Huna sababu maalum unakopa!
Umekopa, unageuka jeuri!
Hizi ni ishara mbaya, tuache maigizo, kama maisha yametushinda mjini turudi Vjjijini tukalime.
Mbwembwe nyiiiiiiingi mjini kumbe tunanuka ufukara tu na utapeli mtandaoni, tuweni wastaarabu shiiiiiiit!
 
Yaelekea ndyo biashara yako hii😂😂😂
We unavyoweka riba katili kwa wenzako,unafikiri wanapenda?🤣🤣🤣
 
Hawa wapigwe adhabu kali sana,kuna kiapp kinaitwa RAPID FINANCE kina watumishi wana matusi sana,wanakuita hata Shoga hata siku 7 kwa mujibu wa Mkopo uliokopa hazijafika.Tena riba zao sijui BOT wanazireview vp,unakuta mfano umeingiziwa 132k baada ya siku 6 app inataka ulipe 204i,yaani ndani ya siku 6 riba ni 70k,jamaaani,jamaaani BOT huu si uuaji kweli,mnachosimamia ni nini sasa??

App nzuri ni CASH X tu,hawa hawana kausha damu,riba zao ni rafiki
 
Ukitaka kujua jinsi Mtu mweusi alivyo na matatizo pitia huu uzi.
Una shida, Unakopa, hutaki kulipa!
Huna sababu maalum unakopa!
Umekopa, unageuka jeuri!
Hizi ni ishara mbaya, tuache maigizo, kama maisha yametushinda mjini turudi Vjjijini tukalime.
Mbwembwe nyiiiiiiingi mjini kumbe tunanuka ufukara tu na utapeli mtandaoni, tuweni wastaarabu shiiiiiiit!
Kwa riba zenu za kitapeli mtapigwa sana, we unamkopesha mtu elfu 50 kisha unamkabidhi elfu 45 halafu unataka akurudishie elfu 90 kweli? Mtumiege akili sazingine. Huna ofisi kusema labda utalipa pango ila unataka riba kubwa kuliko hata benki. Shenzi type!!!
 
Hawa ni Twiga loan. Wanakutumia sms hizi na umeshalipa. Ukiwapigia wnasema usijali sms ziliandikwa zamani hivo zipuuzwe. Niliacha kukopa. Hela 75,000 unawalipa 130,000
View attachment 3106366View attachment 3106368

Hahahahahahaha ila SMS zao zinafuraisha ety nenda kalime sahau kuhusu mkopoo
 
Hawa ni Twiga loan. Wanakutumia sms hizi na umeshalipa. Ukiwapigia wnasema usijali sms ziliandikwa zamani hivo zipuuzwe. Niliacha kukopa. Hela 75,000 unawalipa 130,000
View attachment 3106366View attachment 3106368
Hiyo riba ni zaidi ya 80%
BOT wasicheze na akili za Watanzania.
Inakuwaje deni la wiki moja lizae riba ya 40-90%?
Maana app nyingi mkopo ni wa wiki ambapo siku ya 4 tu wanadai pesa yao
Hawa waondoshwe nchini.
Wamekiuka Sheria miaka mingi
 
Back
Top Bottom