Yaelekea ndyo biashara yako hii😂😂😂Ukitaka kujua jinsi Mtu mweusi alivyo na matatizo pitia huu uzi.
Una shida, Unakopa, hutaki kulipa!
Huna sababu maalum unakopa!
Umekopa, unageuka jeuri!
Hizi ni ishara mbaya, tuache maigizo, kama maisha yametushinda mjini turudi Vjjijini tukalime.
Mbwembwe nyiiiiiiingi mjini kumbe tunanuka ufukara tu na utapeli mtandaoni, tuweni wastaarabu shiiiiiiit!
Mnazingua, mazungumzo yenu hapa jaamvino kila mtu ana gari, ana nyumba na Iphone juu deep down mfukoni hata mia mbovu hakuna! Kuumbe ni utapeli tuuu acheni kuigiza maishaYaelekea ndyo biashara yako hii😂😂😂
We unavyoweka riba katili kwa wenzako,unafikiri wanapenda?
Vipi mtaji bado unao?au umekata?Mnazingua, mazungumzo yenu hapa jaamvino kila mtu ana gari, ana nyumba na Iphone juu deep down mfukoni hata mia mbovu hakuna! Kuumbe ni utapeli tuuu acheni kuigiza maisha
Afadhali at last ..at least📌🔨Benki Kuu ya Tanzania Yapiga Marufuku Wakopeshaji Mitandaoni Kutuma Jumbe Za Madai Kwa Wasiohusika, Kudhalilisha Wadaiwa Mitandaoni
Reference Benki Kuu ya Tanzania Yapiga Marufuku Wakopeshaji Mitandaoni Kutuma Jumbe Za Madai Kwa Wasiohusika, Kudhalilisha Wadaiwa Mitandaoni - The Chanzo
Kwahiyo mitano tena?ebana leo ndo nimejua serikali kweli inaafanya kazi nilishaanza kusumbuliwa leo na pdf ndo linatoka.
Kwa riba zenu za kitapeli mtapigwa sana, we unamkopesha mtu elfu 50 kisha unamkabidhi elfu 45 halafu unataka akurudishie elfu 90 kweli? Mtumiege akili sazingine. Huna ofisi kusema labda utalipa pango ila unataka riba kubwa kuliko hata benki. Shenzi type!!!Ukitaka kujua jinsi Mtu mweusi alivyo na matatizo pitia huu uzi.
Una shida, Unakopa, hutaki kulipa!
Huna sababu maalum unakopa!
Umekopa, unageuka jeuri!
Hizi ni ishara mbaya, tuache maigizo, kama maisha yametushinda mjini turudi Vjjijini tukalime.
Mbwembwe nyiiiiiiingi mjini kumbe tunanuka ufukara tu na utapeli mtandaoni, tuweni wastaarabu shiiiiiiit!
Hawa ni Twiga loan. Wanakutumia sms hizi na umeshalipa. Ukiwapigia wnasema usijali sms ziliandikwa zamani hivo zipuuzwe. Niliacha kukopa. Hela 75,000 unawalipa 130,000
View attachment 3106366View attachment 3106368
Hahahahahahaha ila SMS zao zinafuraisha ety nenda kalime sahau kuhusu mkopooHawa ni Twiga loan. Wanakutumia sms hizi na umeshalipa. Ukiwapigia wnasema usijali sms ziliandikwa zamani hivo zipuuzwe. Niliacha kukopa. Hela 75,000 unawalipa 130,000
View attachment 3106366View attachment 3106368
Kuandika vzr wakati pesa hauna inasaidia nini?Huyo jamaa hata kuandika tu kuna mpa shida.
Hiyo riba ni zaidi ya 80%Hawa ni Twiga loan. Wanakutumia sms hizi na umeshalipa. Ukiwapigia wnasema usijali sms ziliandikwa zamani hivo zipuuzwe. Niliacha kukopa. Hela 75,000 unawalipa 130,000
View attachment 3106366View attachment 3106368