Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
BOT wakishafanya hivi ndio imetoka. Hawafuatilii kabisa wala kuchukua hatua.Hiyo riba ni zaidi ya 80%
BOT wasicheze na akili za Watanzania.
Inakuwaje deni la wiki moja lizae riba ya 40-90%?
Maana app nyingi mkopo ni wa wiki ambapo siku ya 4 tu wanadai pesa yao
Hawa waondoshwe nchini.
Wamekiuka Sheria miaka mingi
cc: Dr. Mwigulu NchembaBOT fungieni hawa watu hakuna manufaa yoyote kwa mtanzania kwa sababu madhara ni makubwa kuliko faida.Sisi waathitika tunashauri muwafungie hii biashara.Sisi watanzania wenye nchi tunasema fungieni hii biashara ambayo inafanywa na wachina pamoja na wakenya wakishirikiana na watanzania wachache.Tumeona madhara yake ikiwemo kuwa na madeni lukuki hivo inabidi uendelee kukopa kwenye app zao mbalimbali ili ukamilishe madeni ya APP zingine wakati huo riba ni kubwa sana na siku ni chache (5-6)hivo unabaki kuwa mtumwa wa madeni ambayo hayalipiki na hakuna faida unayopata zaidi ya kugombana na ndugu zako, marafiki,wafanyakazi wenzio kwa sababu ili uweze ku maintain pressure za hawa wachina na wakenya wa APP za mikopo inakubidi ukope na kwa watu wako wa karibu hivo husababisha ugomvi na chuki miongoni mwa jamii wakati huo huo aliekopa akiendelea kuwa na madeni kwa sababu inafikia wakati hayo madeni hayalipik tena.kUMBUKA kuwa utapigiwa simu kuanzai saa kumi na moja alfajir hadi usiku wa manake ukipokea vitisho na maneno ya kejeli muda wote unakuwa huna amani badala ya mkopo inakuwa SHARI sasa.Hebu fikiria saa saba usiku mkeo anapigiwa simu eti anaambiwa tunajua uko na jamaa hapo mwambie alipe ! Saa saba usiku wakati umelala na mkeo ! Hii ni zaidi ya ushenzi !
Nawashauri BOT wafanye reseach katika jamii juu ya suala hili ili waujue ukweli na research yenyewe iwe direct one to one na wale walioathirika watapata A to Z ya tatizo hili kubwa.
Narudia tena BOT funga hii biashara ya mikopo ya APP mitanadaoni.
CCM waelekezeni BOT wafunge hii biashara tafadhali.
Na pia wakati BOT wakivuta miguu kufunga biashara hii TRA fuatilieni hizi APP , pesa nyingi sana mapato ya serikali zinaenda kwa wajanja wachache bila kulipa kodi wakati hawana ofisi ya kuwa trace wala kuwa hold responsible.
Huu ni UHUJUMU UCHUMI
Narudia tena BOT na serikali ya sikivu ya CCM fungia hawa watu !
Aiseee jamaa walitumia nguvu kubwa sana kunisaka niwalipe mamilioni yao lakini wamenyoosha mkono.Kumbe ni ishu ya hivi karibuni tu hahahaaa. Itakua wanajipanga waje na mashambulizi upya dadadeki maana hawawezi kubali kirahisi pesa mingi hivyo. Watu wamedhalilishwa kwa pesa ndogo mno hata 50k haifiki. Toa codes ya hiyo course saidia na wengine maana serikali haijali na kila siku tunapata sms eti tumemdhamini fulani kisa tu kakusave kwenye namba yake.
Hiyo kali mzee. Kwanza hadi kukupa pesa zote hizo ilikuaje maana wanatoaga vimikopo vidogovidogo sana ila unalipa nyingiAiseee jamaa walitumia nguvu kubwa sana kunisaka niwalipe mamilioni yao lakini wamenyoosha mkono.
It's like a movie
Nilipojaza profile niliwatamanisha . Najaza hatua ya mwisho simalizii nawapigia simu ile customer service kuwa nilitaka kukopa milioni 1 kumbe mnakopesha vihela vidogo. Naomba wafute account yangu au wanipe milioni hapo hamna hamna wananipa laki 5Hiyo kali mzee. Kwanza hadi kukupa pesa zote hizo ilikuaje maana wanatoaga vimikopo vidogovidogo sana ila unalipa nyingi
Nadhani hujaelewa dhumni la uzi na kile walichokikataa BOT, Tatizo watanzania wengi sifa ndo zinawasumbua na kujifanya kujua kila kitu. Binafsi mimi napongeza hatua walizochockua BOT hizi App zilikuwa na ujinga mwingi sana. Unakuta mtu alikopa huko wewe hajui unshangaa uapigiwa simu eti wewe ni mtu wake wa karibu na fulani ametutapeli na alikuweka wewe kama mdhamini, ukijaribu kuhoji kidogo huo udhamini ni wa aina gani unaishia kutukanwa na hawaishii hapo watabadilisha line na kuendelea kukughasi kila siku. UPPUZI MTUPU.Ukitaka kujua jinsi Mtu mweusi alivyo na matatizo pitia huu uzi.
Una shida, Unakopa, hutaki kulipa!
Huna sababu maalum unakopa!
Umekopa, unageuka jeuri!
Hizi ni ishara mbaya, tuache maigizo, kama maisha yametushinda mjini turudi Vjjijini tukalime.
Mbwembwe nyiiiiiiingi mjini kumbe tunanuka ufukara tu na utapeli mtandaoni, tuweni wastaarabu shiiiiiiit!
Na hii ndo kero kubwa aisee. Unakuta mtu uliwahi wasiliana nae mara moja ukasevu namba yake unashangaa unaambiwa ulimdhamini. Mi hadi mmoja nilikua simkumbuki kumbe namba niliwahi kuisevu wakati tunabargain biashara flani tu mtandaoniNadhani hujaelewa dhumni la uzi na kile walichokikataa BOT, Tatizo watanzania wengi sifa ndo zinawasumbua na kujifanya kujua kila kitu. Binafsi mimi napongeza hatua walizochockua BOT hizi App zilikuwa na ujinga mwingi sana. Unakuta mtu alikopa huko wewe hajui unshangaa uapigiwa simu eti wewe ni mtu wake wa karibu na fulani ametutapeli na alikuweka wewe kama mdhamini, ukijaribu kuhoji kidogo huo udhamini ni wa aina gani unaishia kutukanwa na hawaishii hapo watabadilisha line na kuendelea kukughasi kila siku. UPPUZI MTUPU.
π aisee dahMtu mnachat kwa meseji anakwambia mdomo wako utakuponza hahahahah watu wana mikwara mbuzi
Ndivyo wafanyavyo kumbe?Ni kweli kabisa hawa jamaa ni Blackmailers , wanakupa mkopo ambao unaonyesha katika APP yao ni siku saba lakini ikifika siku ya tano saa kumi na moja alfajir wanaanza kukupigia simu kukudai kwa vitisho kuwa usipolipa mpaka saa nne asubuhi basi watawambia jamaa zako wote walio katika phone book yako ! Ikifika saa nne asubuhi wanapiga tena ! Ukiwaambia baado wanakwambia alaa kumbe hutujui eti !?? hazipiti dakika kadhaa utaanza kuona jamaa zako wanaanza kukupigia simu kukuuliza vipi ? Hawa wanatupigia simu na kutuma message eti umetapeli hutaki kulipa , je ni kweli ???? Ninachomaanisha ni kuwa wana kublackmail kwa vitisho ili uwalipe hawa jamaa ni balaa na kwa kuwa wana access ya simu yako wakati mwingine wana screenshot message za mapenzi au madeal unayofanya na watu wanakutumia halafu wanaakuuliza vipi tuwatumie jamaa zako au mkeo ??? Au unalipa ??? Ni blackmail ya hali ya juu iliyo vuka mipaka ! Wana hack simu yako wanawajua wapenzi wako wanawataja kwa majina ! wana monitor simu yako kama imeingiza pesa au imelipa pesa na wanakwambia kabisa mbona una pesa kwenye simu yako kiasi kadhaa ??!!
Kwa kifupi jamaa wana hack simu yako na kila taarifa ya simu yako wana kuwa nayo kiganjani !
Jaribu ku summarize ili tupate muda wa kusoma na comment za wenzako. Muda ni mali.BOT fungieni hawa watu hakuna manufaa yoyote kwa mtanzania kwa sababu madhara ni makubwa kuliko faida.Sisi waathitika tunashauri muwafungie hii biashara.Sisi watanzania wenye nchi tunasema fungieni hii biashara ambayo inafanywa na wachina pamoja na wakenya wakishirikiana na watanzania wachache.Tumeona madhara yake ikiwemo kuwa na madeni lukuki hivo inabidi uendelee kukopa kwenye app zao mbalimbali ili ukamilishe madeni ya APP zingine wakati huo riba ni kubwa sana na siku ni chache (5-6)hivo unabaki kuwa mtumwa wa madeni ambayo hayalipiki na hakuna faida unayopata zaidi ya kugombana na ndugu zako, marafiki,wafanyakazi wenzio kwa sababu ili uweze ku maintain pressure za hawa wachina na wakenya wa APP za mikopo inakubidi ukope na kwa watu wako wa karibu hivo husababisha ugomvi na chuki miongoni mwa jamii wakati huo huo aliekopa akiendelea kuwa na madeni kwa sababu inafikia wakati hayo madeni hayalipik tena.kUMBUKA kuwa utapigiwa simu kuanzai saa kumi na moja alfajir hadi usiku wa manake ukipokea vitisho na maneno ya kejeli muda wote unakuwa huna amani badala ya mkopo inakuwa SHARI sasa.Hebu fikiria saa saba usiku mkeo anapigiwa simu eti anaambiwa tunajua uko na jamaa hapo mwambie alipe ! Saa saba usiku wakati umelala na mkeo ! Hii ni zaidi ya ushenzi !
Nawashauri BOT wafanye reseach katika jamii juu ya suala hili ili waujue ukweli na research yenyewe iwe direct one to one na wale walioathirika watapata A to Z ya tatizo hili kubwa.
Narudia tena BOT funga hii biashara ya mikopo ya APP mitanadaoni.
CCM waelekezeni BOT wafunge hii biashara tafadhali.
Na pia wakati BOT wakivuta miguu kufunga biashara hii TRA fuatilieni hizi APP , pesa nyingi sana mapato ya serikali zinaenda kwa wajanja wachache bila kulipa kodi wakati hawana ofisi ya kuwa trace wala kuwa hold responsible.
Huu ni UHUJUMU UCHUMI
Narudia tena BOT na serikali ya sikivu ya CCM fungia hawa watu !
Mikopo yenu co rafiki, kuangalia upande mmoja ndio Mavi gani!?BOT wameangalia upande mmoja,hizi tabia za kukopa na kukimbia madeni hazikubaliki
ujalazimishwa kukopa boss kama si rafiki achana nayoMikopo yenu co rafiki, kuangalia upande mmoja ndio Mavi gani!?
Kwani nyie mumelazimishwa kukopesha, kama sio shobo zenu ni nini? Munawapelekea watu matangazo kuanzia kwenye mitandao ya kijamii, sms na mpaka majumbani chumba Hadi chumba, sa kwa nini watu wasichukue hela za bure kama hizo? Mkikopwa tulizeni makalio ofisini kwenu watu wanakula bata musiwasumbue.ujalazimishwa kukopa boss kama si rafiki achana nayo
Kampuni ya Otaimo Financial Service, ilinidhalilisha Sana sms kibao za matusi. Ushahidi ninaoWakuu,
Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa.
Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya Mtandaoni (Online)'
Tabia hiyo ilifika hatua mbaya zaidi kiasi cha baadhi ya kampuni kuanzisha magroup ya Whatsap na kuadd baadhi ya contacts unaowaheshimu na kuweka picha za wadeni wao ili kuwapa presha za kulipa madeni wanayodaiwa.
Siku ya jana BOT walitoa muongozo rasmi kujibu vilio vya wananchi ambapo katika muongozo huo, BOT umeweka miongozo ifuatayo (Nime-summarize)
Hayo ni machache tu wakuu.
- Hairuhusiwi kwa kampuni moja kumiliki apps mbili au zaidi za mikopo
- Kampuni za mikopo haziruhusiwi kushare taarifa za mteja kwa watu au makampuni za nje ya nchi
- Hairuhusiwi kwa kampuni za mikopo mitandaoni kukusanya namba za simu, meseji, picha, email au taarifa nyingine zozote kwenye simu yako
- Mdhamini wa mteja ni lazima afahamishwe kuwa amechaguliwa kuwa mdhamini na akubali
- Watu wa huduma kwa wateja hawaruhusiwi kutumia lugha chafu na kejeli kwa wateja
- Ni marufuku kuchapisha taarifa za mteja mtandaoni iwapo atafeli kulipa deni
- Ni marufuku kwa kampuni kumtaka mteja kulipa riba au pesa yote anayodaiwa kabla ya tarehe ya makubaliano
- Ni marufuku kutuma meseji kwa contacts za mteja ili kumuonesha kuwa anadaiwa
Ningependa kuwapongeza BOT kwa kusikiliza kilio cha watanzania wengi.
Unaweza kupata taarifa zaidi kupitia website ya BOT
Nawasilisha
πππDaahKuandika vzr wakati pesa hauna inasaidia nini?
πππKwani nyie mumelazimishwa kukopesha, kama sio shobo zenu ni nini? Munawapelekea watu matangazo kuanzia kwenye mitandao ya kijamii, sms na mpaka majumbani chumba Hadi chumba, sa kwa nini watu wasichukue hela za bure kama hizo? Mkikopwa tulizeni makalio ofisini kwenu watu wanakula bata musiwasumbue.