kwa kawaida nguo ya ndani kama boxer na singland inatakiwa ivaliwe mara moja tu....
ila iko hivi, kwetu sisi wanaume tumeumbwa tofauti kdg na ndg zetu wanawake, hapa namaanisha via vya uzazi, wanawake wana asili ya unyevu unyevu huko chini, wengine ute mwembamba, wengine kitu kama mtindi sasa ole wako urudie chupi, hiyo harufu ni n inoma, pia kuna ambao hawana hizo character yaani ni wakavu kabisa.
nije kwa upande wa mwanaume, sisi tumeumbwa ni wakavu kabisa kiasi kwamba kwa wanaoishi maeneo ya baridi wanaweza kuvaa boxer hata siku tatu bila tatizo lolote, ila wanaoishi maeneo ya dar yenye joto boxer inatakiwa ivaliwe mara moja. kwa upande wangu hapa dar navaa mara moja , ila nikienda nyumbani (kaskazini) huwa navaa hadi mara tatu