Breaking: Netanyahu akubali kusitisha vita baada ya shambulio la Iran asubuhi ya Leo 24.06.2025

Walidhani Iran ni Syria
 
.

Mwongo wewe. Makubaliano ya kusitisha vita yalifikiwa jana kabla la shambulio hilo la Iran. Na makubaliano hayo yalikuwa yamesimamiwa na Watar. Kufuatia makubaliano Iran ilisema itasitisha mashambulizi baada ya masaa 6toka Tangazo lilipotolewa. Na Israel ikasema itasitisha baada ya masaa 12. Shambulio la Iran lilikuwa ndani ya masaa 6 kabla ya usitishaji kuanza.

Shambulio la mwisho la Iran halina uhusiano wowote na usitishaji vita. Muwe mnajishughulisha kufuatilia ukweli wa mambo kuliko kuropoka ovyo halafu baadaye unaoneka mwongo au mjinga na wale wanaofahamu.
 
Hao achana nao wanaujua huu ukweli ila wameamua kuchagua upande utaowapa amani ya moyo kisa ushabiki maandazi
 
Tumetoka RISING LION, ikaja we know where suprime leader is holding, ikaja Iran skies totaly controlled, ikaja REGIME change ...

IRAN hongera sana....umeonyesha nini maana ya kujitegemea..

Sidhani Israel kipigo alichopata atakuja Abadan kurusha japo jiwe ...

Natabiri,kuondolewa kwa NETANYAU na watu wake....amewatia hasara kwa kuaminsha IRON DOME
 
Mkuu sababu kubwa hasa ni pressure aliyonayo Trump na kuendelea kubaki madarakani kutokana na kupingwa ni wakubwa wa US kwamba kavunja katiba kushambulia Iran lakini maandamano hayajawahi kutokea katika history ya Marekani, maandamano muda huu nandika yapo mlango mwa geti la whitehouse, na huenda jama waka mu-impeach Trump
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…