Mwenzangu Lenana imemshinda....hiyo Shy guest house ndio hivyo tena uzuri juu kuna Kanisa Asemblies of God nyepesi ni kuwa jamaa babu yetu mzee wetu kajikabidhisha mikononi kwa mchungaji.......Mungu yu mwema
Elizabeth Dominic hongera kwa kupanda cheo,kuanzia leo wewe ni senior correspondent jf udaku,mshahara dola elfu nane kwa mwezi na vocha za laki tano,mafuta lita mia kwa wiki na utalipiwa apartment masaki.
Copy: TANMO........kwa utekelezaji.
Jiweke pembeni kuepuka msongamano.....!!!!
Nilibahatika kupata kapicha kamoko... hebu ngoja niwaulize wahudumu kama walipata picha nyingine.....
We udhika afu zira kabisa...
Wamemsitiri mzee mwenzetu, angekubali atoe ile nyumba yake ya Tabata kisiwani ili wamuache kifanyio chake....
Siendeshwi na mapenzi kama mmekubaliana oaneni kha!
sio baba yangu Mtambuzi aiseeh mbona ni mtu mtakatifu sana,ukizingatia anaongozwa na roho mtakatifu ktk maisha yake ktk hili namtetea,usiwaletee samaki hawa wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa................
Afukuzwa hotelini, na kupigwa black list asikanyage hotelini hapo, mwenyewe adai binti alitaka kumbaka wakati alipokwenda kumtandikia kitanda.. Ahamia logde maeneo ya Pasiansi.....
More update to follow....