Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Hilo usiwe na wasiwasi, nijiweke pembeni mala ngapi?
Hawakusemaga tu ila nilifumwa na The secretary tunakula tunda kwenye gari
we mama mbona unabalaa... Umesema mtakavitu au mtakatifu?
na huku nako bado mwatifuana?
Sitifuani na mtu, nimesha waacha waendelee na mambo yao
Hasira za mkizi..........
mmmh!una hasira leo
ngoja nikuache mie!
Uniache uende wapi?
Ila hujatuambia kama hauskipa kamfungulia mzee mzima RB.
Kwani mi nikifanya na yeye ndio aje aige?
Ana bahati nimebanwa ningemtoa shipa eti
jamani Andindilile mbona wapenda ugomvi wewe!
mi sipo looool!
Passion Lady huyu Andindilile huyu anatia fitina katika mapenzi yangu na manoah..saiv mpz kachukia chakula hakiliki ...ebu sema nae bs
Jiweke pembeni kuepuka msongamano.....!!!!
Mwenzangu Lenana imemshinda....hiyo Shy guest house ndio hivyo tena uzuri juu kuna Kanisa Asemblies of God nyepesi ni kuwa jamaa babu yetu mzee wetu kajikabidhisha mikononi kwa mchungaji.......Mungu yu mwema
Baby manoah nini mbaya tena?