Andindilile
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 289
- 145
Siendeshwi na mapenzi kama mmekubaliana oaneni kha!
Jamani jamani!
Jamani baba Nginaaaaaaaaaaa....!
Uwiiiiiiiiiii
jamani Andindilile mbona wapenda ugomvi wewe!
mi sipo looool!
Unajua ahadi yetu?
Ndo babaako huyoooo.... Kubali tu make hata ulie kilio cha mbwa mwizi hutobadilisha chochote... Pole mwaya!!!!
We manoah na mkeo hebu pelekaneni chumbani.huko.. hamjui watoto wanawaona saiv???
Unajua ahadi yetu?
Mie sisemi kitu, ila unaelekea kuniuzi
Hawajamkata kifanyio?
Zikufikie shost angu Elizabeth Dominic
Mbona wa dirishani mdada ni Elizabeth Dominic ?
Umesahau mkasa wako....???
Wee!.....hivi una nini wewe?
No komenti.