Hustler one
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 469
- 1,273
Hawa hivi Mara nyingine wanakuwa washapigwa matukio sasa hawezi sema !!, nilikuwa na demu wangu mmoja kwa nje mgumu na Ana maneno magumu magumu ila nilikuja kungudua kumbe alishapigwa na kitu kizito ndo mana anajifanya hayajali wa wala hayamuumizi π( lakini yote ya yote kila mtu ashinde mechi zakeππ»π€£)Mazee si ajitokeze kijana mmoja ampe Lamomy heartbreak ya nguvu kiasi kwamba apungue kilo tano ndani ya siku mbili?
Lamomy naye atakua aina hiyo ya watuπ€£π€£ ashaota sugu.Hawa hivi Mara nyingine wanakuwa washapigwa matukio sasa hawezi sema !!, nilikuwa na demu wangu mmoja kwa nje mgumu na Ana maneno magumu magumu ila nilikuja kungudua kumbe alishapigwa na kitu kizito ndo mana anajifanya hayajali wa wala hayamuumizi π( lakini yote ya yote kila mtu ashinde mechi zakeππ»π€£)
Mzee mi huwa Nina affection kubwa ya watu au vitu.Bado hayajakukuta!
Aisee nilipo Kuna supu flani noma na nusu, mzee kila siku mi ndomteja wao wa kwanza ππ.Bro yakikuta supu utaiona chungu.
Kama una affection na vitu lazma kuna emotional connection hapo, lazma uumie labda usioneshe kwa watu tu ila ukweli unaujua mwenyewe! Wanaume wengi hua tunafake hisia ndo maana tunakufa mapema.Mzee mi huwa Nina affection kubwa ya watu au vitu.
Ila viki amua kuondoka, sigeukagi kabisa ππ.
Broo una jua series na misosi Raha yakeπ€£, Eti nisumbuliwe na binadamu mwenye manyoya mwili mzima.
Tatizo kuna watu hawajui kucontrol hisia, hisia lazma uzi face sio kuzi deny. Unapozifaace ndipo unakua umezicontontrol no wonder tunaona wanaume wengi wameharibika na mapombe, sigara, wanafakamia malaya, mwisho wanaishia kuharibu afya zao na kupata magonjwa.Aisee nilipo Kuna supu flani noma na nusu, mzee kila siku mi ndomteja wao wa kwanza ππ.
Kikubwa punguza hisia za u kyande, be normal tu
Mzee mi uki ni delete, Nita waza kwanini??.Kama una affection na vitu lazma kuna emotional connection hapo, lazma uumie labda usioneshe kwa watu tu ila ukweli unaujua mwenyewe! Wanaume wengi hua tunafake hisia ndo maana tunakufa mapema.
Aisee hii supu ni π₯π₯π₯, mpishi mzuri, nami mlaji mzuri π€.
Ww endelea kunywa supuπ€£π€£
Oya ntakuzingua ππππHawa hivi Mara nyingine wanakuwa washapigwa matukio sasa hawezi sema !!, nilikuwa na demu wangu mmoja kwa nje mgumu na Ana maneno magumu magumu ila nilikuja kungudua kumbe alishapigwa na kitu kizito ndo mana anajifanya hayajali wa wala hayamuumizi π( lakini yote ya yote kila mtu ashinde mechi zakeππ»π€£)
π€£π€£π€£ watu wa aina hii akipigwa tukio, analipza kwa kudanga hamna namna.. endelea ku repress hisia utakufa vibaya. Nyie ndo mnataka wanaume wafe mapema. Mnawachezea na kukosa hisia kwenu, pymbyfπMimi huyu?? Nishakwambia siumizwi na siteseki na vitu vya kipuuzi..!!
Ww kijana acha kuendekeza hisia, utamu wa pipi mate yako..!! Acha uboya unazingua πππ
Bichwa lako gumu kuelewa unanichosha, naona unaendekeza hisia kuliko akili zako..!!π€£π€£π€£ watu wa aina hii akipigwa tukio, analipza kwa kudanga hamna namna.. endelea ku repress hisia utakufa vibaya. Nyie ndo mnataka wanaume wafe mapema. Mnawachezea na kukosa hisia kwenu, pymbyfπ
Watoto aliwahurumia maana hali ya huzuni ilikuwa kwao pia hasa ikizingatiwa mimi ndio nilibaki nao, nahisi walizungumza wakamwambia dadii yupo hivi na vile.
Poa bobππ½ , Lakini si nilishasema kila mtu ashinde mechi zakeπ, ( ulijisikiaje au ulikuwaje utamalizana na SIR GOD hukoππ»π)Oya ntakuzingua ππππ
Mi sijawahi kupigwa tukio mwanangu, hayo mambo siyapi kipaumbele..!!
Mimi ukisema itβs over fresh pita kushoto nipite kulia. Kitu kinanipea stress MONEY π°peke yake!!
Hawa viumbe waliojaa mpk wengine wanaamua kuwa mashoga hawaniumizi kichwa bob π
Sinaga hisia mwanangu πPoa bobππ½ , Lakini si nilishasema kila mtu ashinde mechi zakeπ, ( ulijisikiaje au ulikuwaje utamalizana na SIR GOD hukoππ»π)
Poa mwanangu utamalizana na SIR GOD huko umweleze ulizipeleka wapi na yeye alikupa ulivyokuja dunianiπ€£π€£ππ»Sinaga hisia mwanangu π