Hustler one
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 469
- 1,273
Hawa hivi Mara nyingine wanakuwa washapigwa matukio sasa hawezi sema !!, nilikuwa na demu wangu mmoja kwa nje mgumu na Ana maneno magumu magumu ila nilikuja kungudua kumbe alishapigwa na kitu kizito ndo mana anajifanya hayajali wa wala hayamuumizi 😁( lakini yote ya yote kila mtu ashinde mechi zake🙌🏻🤣)Mazee si ajitokeze kijana mmoja ampe Lamomy heartbreak ya nguvu kiasi kwamba apungue kilo tano ndani ya siku mbili?