Breakup ya kwanza ilikuaje?

Breakup ya kwanza ilikuaje?

Mazee si ajitokeze kijana mmoja ampe Lamomy heartbreak ya nguvu kiasi kwamba apungue kilo tano ndani ya siku mbili?
Hawa hivi Mara nyingine wanakuwa washapigwa matukio sasa hawezi sema !!, nilikuwa na demu wangu mmoja kwa nje mgumu na Ana maneno magumu magumu ila nilikuja kungudua kumbe alishapigwa na kitu kizito ndo mana anajifanya hayajali wa wala hayamuumizi 😁( lakini yote ya yote kila mtu ashinde mechi zake🙌🏻🤣)
 
Lamomy naye atakua aina hiyo ya watu🤣🤣 ashaota sugu.
 
Shida hisia Zina wacost mno, for real kuweka hisia kwa mtu ni zero siku hizi.

Kikubwa na play part yangu, iff it's over I keep chasing big bucks
 
Mzee mi huwa Nina affection kubwa ya watu au vitu.
Ila viki amua kuondoka, sigeukagi kabisa 😁😁.

Broo una jua series na misosi Raha yake🤣, Eti nisumbuliwe na binadamu mwenye manyoya mwili mzima.
Kama una affection na vitu lazma kuna emotional connection hapo, lazma uumie labda usioneshe kwa watu tu ila ukweli unaujua mwenyewe! Wanaume wengi hua tunafake hisia ndo maana tunakufa mapema.
 
Aisee nilipo Kuna supu flani noma na nusu, mzee kila siku mi ndomteja wao wa kwanza 😁😁.

Kikubwa punguza hisia za u kyande, be normal tu
Tatizo kuna watu hawajui kucontrol hisia, hisia lazma uzi face sio kuzi deny. Unapozifaace ndipo unakua umezicontontrol no wonder tunaona wanaume wengi wameharibika na mapombe, sigara, wanafakamia malaya, mwisho wanaishia kuharibu afya zao na kupata magonjwa.

Ww endelea kunywa supu🤣🤣
 
Kama una affection na vitu lazma kuna emotional connection hapo, lazma uumie labda usioneshe kwa watu tu ila ukweli unaujua mwenyewe! Wanaume wengi hua tunafake hisia ndo maana tunakufa mapema.
Mzee mi uki ni delete, Nita waza kwanini??.
Then nikija na judgement nzuri, naku tupa side aways pia😆.
 
Hawa hivi Mara nyingine wanakuwa washapigwa matukio sasa hawezi sema !!, nilikuwa na demu wangu mmoja kwa nje mgumu na Ana maneno magumu magumu ila nilikuja kungudua kumbe alishapigwa na kitu kizito ndo mana anajifanya hayajali wa wala hayamuumizi 😁( lakini yote ya yote kila mtu ashinde mechi zake🙌🏻🤣)
Oya ntakuzingua 😂😂😂😂

Mi sijawahi kupigwa tukio mwanangu, hayo mambo siyapi kipaumbele..!!
Mimi ukisema it’s over fresh pita kushoto nipite kulia. Kitu kinanipea stress MONEY 💰peke yake!!
Hawa viumbe waliojaa mpk wengine wanaamua kuwa mashoga hawaniumizi kichwa bob 😂
 
Mimi huyu?? Nishakwambia siumizwi na siteseki na vitu vya kipuuzi..!!
Ww kijana acha kuendekeza hisia, utamu wa pipi mate yako..!! Acha uboya unazingua 😂😂😂
🤣🤣🤣 watu wa aina hii akipigwa tukio, analipza kwa kudanga hamna namna.. endelea ku repress hisia utakufa vibaya. Nyie ndo mnataka wanaume wafe mapema. Mnawachezea na kukosa hisia kwenu, pymbyf😅
 
Bichwa lako gumu kuelewa unanichosha, naona unaendekeza hisia kuliko akili zako..!!
Endelea kuteswa na mapenzi na usikubali mpk yakuue 😏
 
Oya ntakuzingua 😂😂😂😂

Mi sijawahi kupigwa tukio mwanangu, hayo mambo siyapi kipaumbele..!!
Mimi ukisema it’s over fresh pita kushoto nipite kulia. Kitu kinanipea stress MONEY 💰peke yake!!
Hawa viumbe waliojaa mpk wengine wanaamua kuwa mashoga hawaniumizi kichwa bob 😂
Poa bob👍🏽 , Lakini si nilishasema kila mtu ashinde mechi zake😁, ( ulijisikiaje au ulikuwaje utamalizana na SIR GOD huko🙌🏻😎)
 
Dah nipeni maji kwanza ninywee ili nipate walahu nguvu ya kusimulia lol.
Kwa ufupi tu...!
Kwanza ilikua ghafla, Nilijipata na anxiety [emoji22] nilinyoa nywele zangu.Nikaomba likizo ya mda job..nikabeba vyeti,passport na nguo chache huyoo nikahama nchi kwa mda.To be continued [emoji41]
 
Back
Top Bottom