KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
 
Hivi kwenye "eazy to do business index",..tz tuko nafasi ya ngapi?
 
Kwa kweli hali ni mbaya sana sana
nilifikiri ni mimi peke yangu nimekutana na thread kibao watu wanalalamika humu kuhusu huduma mbovu za brela, wakitaka kukomesha ujinga huo basi waje systems analyst wafanye analysis na utendaji kazi, wote wanaohujumu brela waondolewe kazini.
 
malalamiko dhidi ya brela kumbe ni mengi sana aisee.
 
brela kumeoza kama sehemu zingine zilivyooza.
 
Kwa kweli hali ni mbaya sana sana
mnoooo. mtu unasubiri majibu miezi mitatu hakuna majibu na wameshakuomba pesa nje ya utaratibu lakini bado hawafanyi kazi yako, tena wanataka cash in advance, hawataki mkopo.
 
nilifikiri ni mimi peke yangu nimekutana na thread kibao watu wanalalamika humu kuhusu huduma mbovu za brela, wakitaka kukomesha ujinga huo basi waje systems analyst wafanye analysis na utendaji kazi, wote wanaohujumu brela waondolewe kazini.
Watumishi njaa njaa tu unasubiri kitu miezi mitatu ?, eti mpgie flani dawa yao inachemka ipo siku ntawapa fedha za PCCB najua watanasa tu
 
Watumishi njaa njaa tu unasubiri kitu miezi mitatu ?, eti mpgie flani dawa yao inachemka ipo siku ntawapa fedha za PCCB najua watanasa tu
sio njaa, waliambiwa wale kwa urefu wa kamba yao, wanatimiza maagizo ya amiri jeshi mkuu, maana bila hivyo ni utovu wa nidamu kwa mkuu wa nchi, bora hata wakati wa jk, sasa hivi nchi ni kama gari bovu liko kwenye mteremko na steering imekatika.
 
Kweli kabisa ni miezi miwili tangu nitumie maombi ya kufungua kampuni wanaleta masahihisho moja moja mpaka sasa mwezi wa pili masahihisho hayaishi! Brela ifunuliwe ipo hovyo kabisa!

Kila mahali uvundo umerudi kama zamani kipindi cha Jk. Mahakama imejaa majaji wala rushwa kama Jaji Salma Maghimbi, ambao walipaswa kuisaidia hii nchi. Urasimu nchi hii ni wa kiwango cha kutisha sana.

Kuna ka business name kangu nilikuwa nasajiri naona week imekata bado sijapata majibu. Status iko waiting for final decision. Brela sikuhizi imekuwa ya kipumbavu sana.

mama anaupiga mwingi

siko tayari kupata mapato ya aibu. kila mtu ana standard zake.

Kweli kabisa ni miezi miwili tangu nitumie maombi ya kufungua kampuni wanaleta masahihisho moja moja mpaka sasa mwezi wa pili masahihisho hayaishi! Brela ifunuliwe ipo hovyo kabisa!
ndugu yangu usipowapa pesa kila siku ni masahihisho kama unarudia QT, leo utaambiwa ondoa muhuri wa wakili kwenye memorandum, mara fanya hivi na vile, ilimradi ujiongeze ukampe pesa huku wewe unazidi kudhoofika, pesa umewalipa na kazi zako zinakwama.
 
Kweli kabisa ni miezi miwili tangu nitumie maombi ya kufungua kampuni wanaleta masahihisho moja moja mpaka sasa mwezi wa pili masahihisho hayaishi! Brela ifunuliwe ipo hovyo kabisa!
mbona miezi miwili bado? usipowapa pesa wewe jiandae kuanza business operations zako 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…