Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Mwisho ni ninyi kuacha uongo na Uchochezi. Ni lazima Mjifunze kutii na kuheshimu sheria. Msipende MropokajiYana mwisho.
Aibu kiasi kwamba WANASHINDWA mtambulisha Kwa Cheo chake .Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tii sheria bila shurutiCdm hatari sana
Hashiriki chaguzi lkn
Bado watu wana pressure
Naye
Ova
Mtambulishe weweAibu kiasi kwamba WANASHINDWA mtambulisha Kwa Cheo chake .
Pumbavu kabisa Polisi Tanzania.
Yaani ni kama vile lucier alikuwepo miaka ya zamani ila mpaka leo binadamu anamtambua LuciferCdm hatari sana
Hashiriki chaguzi lkn
Bado watu wana pressure
Naye
Ova
Huna mke!?,huna mtoto !?,huna hobby!?,huna marafiki!?,huna AKILI.., wewe unachojua ni UCHAWA TU. Una faida gani Sasa kwa jamii iliyojuzunguka!?,wakati mwingine ona aibu hata uwe mchangiaji tu. Wewe masaa 24 ni kuanzisha thread za UCHAWA tu.Tii sheria bila shuruti
Lucas sasa umejirasimisha rasmi kuwa wewe ni msemaji rasmi wa jeshi la polisi.Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kumbe wewe ni shoga, unafurahia mwanamke kunyanyaswa, uchama wako unakusaidia nn?Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hiyo mnataka mkivunja sheria muachwe na kuchekewa tu?Huna mke!?,huna mtoto !?,huna hobby!?,huna marafiki!?,huna AKILI.., wewe unachojua ni UCHAWA TU. Una faida gani Sasa kwa jamii iliyojuzunguka!?,wakati mwingine ona aibu hata uwe mchangiaji tu. Wewe masaa 24 ni kuanzisha thread za UCHAWA tu.
Jinai ni jinai tu na wala haiangalii jinsia. Fundishaneni namna ya kutii sheria na kuheshimu sheria za NchiKumbe wewe ni shoga, unafurahia mwanamke kunyanyaswa, uchama wako unakusaidia nn?
Embu kajifunze kwanza Darasani namna ya kuandikaLucas sasa umejirasimisha rasmi kuwa wewe ni msemaji rasmi wa jeshi la polisi.
Ajira ngumu sana mwacheni mwenzenu anaweza akakumbukwaLucas sasa umejirasimisha rasmi kuwa wewe ni msemaji rasmi wa jeshi la polisi.