GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sasa waihusisha vipi taarifa ya kukamatwa kwa Brenda Rupia na unaemwita Mama?

Where is the link?
 
Attachments

  • downloadfile-2.jpg
    downloadfile-2.jpg
    50.3 KB · Views: 19
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Taarifa inamhusu Brenda kukamatwa na poli ccm, sasa humo katikati mambo ya mama mama mamaa yamekujaje tena?!
Umechanganyikiwa??.
Yaani ww hata muda wa faragha na mmeo unamuwaza tu huyo form 4 failure una akili kweli?!
 
Huna akili.
 
Yaani mtu ambaye anajulikana na kila mtu, anuani ya anapoishi inajulikana na ofisi anayofanyia kazi inafahamika na kila mtu, inakuwaje unamvizia airport akisafiri kihalali na kumkamata?

Kwanini jeshi la polisi hapo kabla hawakutoa taarifa ya kumtaka afike polisi kwa kuwa ana tuhuma za kujibu?

Jeshi letu la polisi mbali na kukosa weredi tangu kuwepo kwake, kwa sasa linaonekana kama genge la kutengeneza maigizo ya sinema.
Wao wanachotafuta ni kisababu cha uzushi ili kumkwamisha....walifanya hivi kwa naibu katibu mkuu alipokuwa anakwenda ulaya kwenye ishu za IDU kama sikosei....na huyu Brenda dhamira ni kumzuia asiende Munich....ni mpumbavu tu na mwenye ukora hatalielewa hili....polic waache kuwaona watz ni mazwazwa
 
Wehu wehu wehu:-
1. Golugwa alivunja sheria gani?
2. Lema alivunja sheria gani?
3. Rupia kavunja sheria gani?
Wote hatujasikia kufunguliwa kesi mahakamani.
Wanatumiwa kuidhibiti CDM maana CCM imeshindwa muziki wao.
Kama hujui ya ndani nyamaza wewe angalia sinema ya P-CCM na CDM tu!!!
Kushindwa kuwafungulia kesi ndo.kunadhiirisha nia yao ovu...
 
Yaani Polisi mnashangaza sana siku moja Makala alisema Chadema wamenunua Virusi walete nchini mbona hamkumkamata?? ile Taarifa ilikua kweli?? kama kweli watu wakiingiza virusi nchini hamuoni wangeua wananchi kwann hamkuwashika??? nyie ndio mnaendeleza chuki nchi hii mnasababisha watu wengine wanajiona kama sio watanzania kisa tu ni washindani wa CCM tuachieni sisi siasa nyie fanyeni kazi za kulinda mali za watu.
Shida ni moja tu.....washajiona wao ndo pekee wana hatimilki ya hii nchi na wao pekee ndo malaika....wengine wote ni wagen na waovu....maana mtu mzima kama ana akili timamu hata kama ana chuki hawez kosa kuonq kuwa polc wanatumika....hao ambao kila mara wanakamatwa ni cdm,kwa makosa lakin hayo makosa hawakutwi na hatia zaid wengine hata mahakaman haqapelekwi....
 
Ufinyu wa akili na udumavu wa fikra yakinifu bado ni tatizo kubwa kwa wanasiasa baadhi ya mashabiki zao wapuuzi kama huyu, kashapewa t-shirt akili imebaki sifuri afu ni mwanaume kiongozi wa familia😂😂
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hatua kali zichukuliwe kwa mujibu wa sheria
 
Back
Top Bottom