GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jeshi la Polisi kuna muda linaendeshwa kipumbavu,Brenda Rupia alikuwepo muda Dar Es Salaam wala jeshi la polisi halikuwahi kumtaka kumhoji wala kumuita atoe ufafanuzi wowote kuhusiana na tuhuma zake zinazomkabili, wamesubiri atake kusafiri ndo wamkamate, upuuuzi tu.
Nenda polisi ukasema hivyo
 
Yaani Polisi mnashangaza sana siku moja Makala alisema Chadema wamenunua Virusi walete nchini mbona hamkumkamata?? ile Taarifa ilikua kweli?? kama kweli watu wakiingiza virusi nchini hamuoni wangeua wananchi kwann hamkuwashika??? nyie ndio mnaendeleza chuki nchi hii mnasababisha watu wengine wanajiona kama sio watanzania kisa tu ni washindani wa CCM tuachieni sisi siasa nyie fanyeni kazi za kulinda mali za watu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nilitaka kushangaa huyu machine ya kusaga kuachwa akiendelea kuropoka hovyo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Kama waongo wangekuwa wanakamatwa, viongozi wote wa CCM wangekuwa jela, viongozi wa jeshi la polisi wangekuwa jela.
 
Tangu uanze UCHAWA wako umepata nini!?, kila siku teuzi zote umesahaulika, mwanzoni ulikuwa unaweka namba zako za simu uliwahi kupigiwa!?,. Wenzako wananeemeka wewe unajipendekeza tu mitandaoni.. huoni aibu umri unaenda!?

Mwashambwa ni toilet paper. Yeye kurushiwa elfu kumi kumi, kwa ukinga alio nao? Anaona tayari ni sehemu ya hao watawala ibilisi wanaodhulumu haki za watu.

Mwashambwa ni wa kuonewa huruma sana. Mtu kukosa akili hata ile ndogo ya kawaida, ni ulemavu mbaya sana. Mwashambwa ni mlemavu, asamehewe.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Kweli Chadema ni chama kikuu cha upinzani. Hakishiriki uchaguzi. Mahakama imekizuia kufanya shughuli bado semaji la chadema limashikiliwa mpakani.

Where are our thinktanks . Dawati la siasa mpeni Deus Kibamba ataleta heshima kubwa duniani ana phd ya kusomea sio causa
 
Kwa hiyo mnataka mkivunja sheria muachwe na kuchekewa tu?
Lucas,
Salaam!
Punguza kidogo mtizamo juu ya ndugu zako watanzania. Rizika na kidogo unachopata kwa jasho huku ukitafuta njia sahihi za kuongeza mkate bila kuwakanyaga vivhwani wenzako.. Hebu ona aibu kidogo. Usifurahie mwenzako kupatwa na matatizo.
* Ww ungekuwa mwenezi wa upande wa opposition ungenena yapi kwa harhira?;

* Fikiria na jifunze kwa watu waliokuwa kama wewe leo wako benchi - jiweke ktkt ya jamii;

* Mafanikio mazuri ni yale yasiyokutesa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Policcm huwa haioni aibu pale inapofanikisha malengo yake ovu ya kuilinda hiyo ccm kwa gharama yoyote ile.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
wamedhamilia kuiua chadema........lakini haitawezekana
 
Back
Top Bottom