GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
chadema majinga sana

yanapambana na maccm halafu still hayatumii akili

yaani still yanaenda kupita namanga,really?

kwanini asiende zanzibar,then apakie boti ya kienyeji ashukie mombasa achukue mwendokasi aende nairobi?

au aende tanga,achukue boti ya kienyeji aende mombasa?

majinga matupu

yaani yaliyopo chadema ni mafala mno.....

cha ajabu yataanza kulia eti ccm inacheza rafu,ccm ni ruthless,wanatumia dola in their own advantage,na wakikushika wanakuua dont make no mistake

ifike sometimes chadema waliopo watumie AKILI na sio kutumia matako kufikiri
 
Back
Top Bottom