Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #21
Acha Ulanzi wako hapa wewe. Nani kakwambia Mrema ni mkurugenzi wa mawasiliano wa CHADEMA.John Mrema amekamatwa?
Acha Ulanzi wako hapa wewe. Nani kakwambia Mrema ni mkurugenzi wa mawasiliano wa CHADEMA.John Mrema amekamatwa?
Unaumia ukiwa wapi?Huna mke!?,huna mtoto !?,huna hobby!?,huna marafiki!?,huna AKILI.., wewe unachojua ni UCHAWA TU. Una faida gani Sasa kwa jamii iliyojuzunguka!?,wakati mwingine ona aibu hata uwe mchangiaji tu. Wewe masaa 24 ni kuanzisha thread za UCHAWA tu.
Ma CHADEMA hayajitambui kabisa.Unaumia ukiwa wapi?
Unataka awe chawa wa maudenda aliyepo gerezani?
Kuna mtu alimtuma akaropoke ujinga?
Mlio mtuma muoneeni huruma!
Tangu uanze UCHAWA wako umepata nini!?, kila siku teuzi zote umesahaulika, mwanzoni ulikuwa unaweka namba zako za simu uliwahi kupigiwa!?,. Wenzako wananeemeka wewe unajipendekeza tu mitandaoni.. huoni aibu umri unaenda!?Kwa hiyo mnataka mkivunja sheria muachwe na kuchekewa tu?
Mimi sitafuti uteuzi ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo na chuki binafsi.Tangu uanze UCHAWA wako umepata nini!?, kila siku teuzi zote umesahaulika, mwanzoni ulikuwa unaweka namba zako za simu uliwahi kupigiwa!?,. Wenzako wananeemeka wewe unajipendekeza tu mitandaoni.. huoni aibu umri unaenda!?
Ondoa ujinga wako hapa wewe usiyejitambua. Embu jaribu kufanya hivyo ukione cha mtema kuni.Bila kuchapana na kuuana, ccm watatuchezea sana
Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
nafikiri alichomekea tuhVipi yule bogus aliesema Lissu akatwe kichwa amekamatwa? Au kwa sababu ni muislmu na anapinga upinzani?
Kwa hakika Jeshi letu la polisi linastahili pongezi kubwa sana.nalipongeza jeshi la polisi kwa kubaini na kuchukua mamuzi kwa wepesi
Wewe ndio unajitambua kwa ngonjera zako za kusifu na kuwaabudu wanadamu wenzio.Ma CHADEMA hayajitambui kabisa.
Nilijifunza kisafwa tu.Embu kajifunze kwanza Darasani namna ya kuandika
Andika basi hicho kisafwaNilijifunza kisafwa tu.
Wehu wehu wehu:-Kwa hiyo mnataka mkivunja sheria muachwe na kuchekewa tu?