GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huna mke!?,huna mtoto !?,huna hobby!?,huna marafiki!?,huna AKILI.., wewe unachojua ni UCHAWA TU. Una faida gani Sasa kwa jamii iliyojuzunguka!?,wakati mwingine ona aibu hata uwe mchangiaji tu. Wewe masaa 24 ni kuanzisha thread za UCHAWA tu.
Unaumia ukiwa wapi?
Unataka awe chawa wa maudenda aliyepo gerezani?
Kuna mtu alimtuma akaropoke ujinga?
Mlio mtuma muoneeni huruma!
 
Tangu uanze UCHAWA wako umepata nini!?, kila siku teuzi zote umesahaulika, mwanzoni ulikuwa unaweka namba zako za simu uliwahi kupigiwa!?,. Wenzako wananeemeka wewe unajipendekeza tu mitandaoni.. huoni aibu umri unaenda!?
Mimi sitafuti uteuzi ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo na chuki binafsi.
 

Vipi yule bogus aliesema Lissu akatwe kichwa amekamatwa? Au kwa sababu ni muislmu na anapinga upinzani?
 
Kwa hiyo mnataka mkivunja sheria muachwe na kuchekewa tu?
Wehu wehu wehu:-
1. Golugwa alivunja sheria gani?
2. Lema alivunja sheria gani?
3. Rupia kavunja sheria gani?
Wote hatujasikia kufunguliwa kesi mahakamani.
Wanatumiwa kuidhibiti CDM maana CCM imeshindwa muziki wao.
Kama hujui ya ndani nyamaza wewe angalia sinema ya P-CCM na CDM tu!!!
 
Jeshi la Polisi kuna muda linaendeshwa kipumbavu,Brenda Rupia alikuwepo muda Dar Es Salaam wala jeshi la polisi halikuwahi kumtaka kumhoji wala kumuita atoe ufafanuzi wowote kuhusiana na tuhuma zake zinazomkabili, wamesubiri atake kusafiri ndo wamkamate, upuuuzi tu.
 
Yanaenda kuwa na mwisho aya, kesi tz kwa sasa ni uchochezi, uhaini ,uhujumu uchumi , watz wanaanza kuzoea sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…