Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #41
Nenda polisi ukasema hivyoJeshi la Polisi kuna muda linaendeshwa kipumbavu,Brenda Rupia alikuwepo muda Dar Es Salaam wala jeshi la polisi halikuwahi kumtaka kumhoji wala kumuita atoe ufafanuzi wowote kuhusiana na tuhuma zake zinazomkabili, wamesubiri atake kusafiri ndo wamkamate, upuuuzi tu.
Tii sheria bila shuruti.acheni janja janjaYanaenda kuwa na mwisho aya, kesi tz kwa sasa ni uchochezi, uhaini ,uhujumu uchumi , watz wanaanza kuzoea sasa
Tulia wewe hujui DuniaTii sheria bila shuruti.acheni janja janja
Nilitaka kushangaa huyu machine ya kusaga kuachwa akiendelea kuropoka hovyo.Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Double standard,Mwisho ni ninyi kuacha uongo na Uchochezi. Ni lazima Mjifunze kutii na kuheshimu sheria. Msipende Mropokaji
Ulijuaje kuwa ni uongo?Double standard,
Makala alipotoa hadharani taarifa ya UONGO ya ununuzi wa magonjwa kutoka nje ya nchi alikamatwa?!
Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ulijuaje kuwa ni uongo?
Tangu uanze UCHAWA wako umepata nini!?, kila siku teuzi zote umesahaulika, mwanzoni ulikuwa unaweka namba zako za simu uliwahi kupigiwa!?,. Wenzako wananeemeka wewe unajipendekeza tu mitandaoni.. huoni aibu umri unaenda!?
Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas,Kwa hiyo mnataka mkivunja sheria muachwe na kuchekewa tu?
Policcm huwa haioni aibu pale inapofanikisha malengo yake ovu ya kuilinda hiyo ccm kwa gharama yoyote ile.Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
ThibitishiLabda uwe mwendawazimu ndiyo utashindwa kutambua maneno ya makala yalikuwa ni uwongo na upuuzi wa hali ya juu.
wamedhamilia kuiua chadema........lakini haitawezekanaNdugu zangu Watanzania,
Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Duh!!Duuh,hii itakuwa ile taarifa ya Lissu kuwekewa sumu wiki kadhaa zilizopita