GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa waihusisha vipi taarifa ya kukamatwa kwa Brenda Rupia na unaemwita Mama?

Where is the link?
 

Taarifa inamhusu Brenda kukamatwa na poli ccm, sasa humo katikati mambo ya mama mama mamaa yamekujaje tena?!
Umechanganyikiwa??.
Yaani ww hata muda wa faragha na mmeo unamuwaza tu huyo form 4 failure una akili kweli?!
 
Taarifa inamhusu Brenda kukamatwa na poli ccm, sasa humo katikati mambo ya mama mama mamaa yamekujaje tena?!
Umechanganyikiwa??.
Yaani ww hata muda wa faragha na mmeo unamuwaza tu huyo form 4 failure una akili kweli?!
Huna akili.
 
Wao wanachotafuta ni kisababu cha uzushi ili kumkwamisha....walifanya hivi kwa naibu katibu mkuu alipokuwa anakwenda ulaya kwenye ishu za IDU kama sikosei....na huyu Brenda dhamira ni kumzuia asiende Munich....ni mpumbavu tu na mwenye ukora hatalielewa hili....polic waache kuwaona watz ni mazwazwa
 
Kushindwa kuwafungulia kesi ndo.kunadhiirisha nia yao ovu...
 
Shida ni moja tu.....washajiona wao ndo pekee wana hatimilki ya hii nchi na wao pekee ndo malaika....wengine wote ni wagen na waovu....maana mtu mzima kama ana akili timamu hata kama ana chuki hawez kosa kuonq kuwa polc wanatumika....hao ambao kila mara wanakamatwa ni cdm,kwa makosa lakin hayo makosa hawakutwi na hatia zaid wengine hata mahakaman haqapelekwi....
 
Ufinyu wa akili na udumavu wa fikra yakinifu bado ni tatizo kubwa kwa wanasiasa baadhi ya mashabiki zao wapuuzi kama huyu, kashapewa t-shirt akili imebaki sifuri afu ni mwanaume kiongozi wa familiaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hatua kali zichukuliwe kwa mujibu wa sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…