idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Ujue nawe unaelekea hukohuko hivyo wanakuachia nafasi ya wewe kuwa mzee.Aitheee Wazee wanapukutika tuuu
R.I.P Brigedia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue nawe unaelekea hukohuko hivyo wanakuachia nafasi ya wewe kuwa mzee.Aitheee Wazee wanapukutika tuuu
Vipi safar hii atahudhuria msiban kweli! Ngoja tuonePole sana Mzee Mkapa kuondokewa na Rafiki
Labda anamaanisha Puerto Rico mkuuSentensi yako ya mwisho itatulazimisha tuhoji zaidi huo Urais wake huko Kisiwani kuliko Kuguswa na Kifo chake hiki Mkuu.
Akiwa mkuu wa mkoa wa Dar. Ilikuwa baada ya uchaguzi. Wenye nchi wakaamini Bakhresa aliisaidi CUF. Basi kukawa na ubishi wa ngano bandarini. Ama inafaa au haifai. Basi aliamrisha magari ya jeshi yakabeba ngano yote na kuimwaga.aliwahi kuwa rais wa mpito wa visiwa vya sychelles ama sherisheri amewahi kuwa mkuu wa organisation na mapigano katika jeshi la msumbiji kisha akawa mshauri wa rais wa msumbiji, amewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam marehemu ameacha wake na watoto wengi
LIP - Lest(rest) in Pipeline.ndo nini hii weka kirefu chake
Kwani bado mmefundishwa historia ya Carl Peters, Sundiata wa Mali, Rebman, Livingstone? Kama bado ndio historia inayofundishwa ndio maana. Wanatakiwa kufundisha morden history mashule iNEW GENERATION HATUMJUI,HABARI ZA HIVYO BILA PICHA ZIWE ZA KINA DIAMOND/ZARI NDO TUNAWAJUA HATA TUKIONA MIGONGO YAO..
ILA SEKTA NYETI KAMA HAO BILA PICHA TUTAISHIA KUANDIKA R.I.P.
HALAFU MTINDO WA KUTUPA TAARIFA YA MSIBA KAMA UNATUPA UBUYU WENYE MUENDELEZO BADAE UACHE.
Na wala sio Mauritius. Ni SeychellesHapana ni Mauritius mkuu
wake na watoto wengi????????? au kwa kuwa alikuwa anakula bure vyakula vya jeshi?aliwahi kuwa rais wa mpito wa visiwa vya sychelles ama sherisheri amewahi kuwa mkuu wa organisation na mapigano katika jeshi la msumbiji kisha akawa mshauri wa rais wa msumbiji, amewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam marehemu ameacha wake na watoto wengi
haya maneno ya mzungu yametuletea tafrani,LIP - Lest(rest) in Pipeline.
Kule walikoenda kumfukuza aliyepindua.Kisiwa gani alikua raisi wake?? Any way R.I.P
Hanari za vijiweni wakivuta Kalikoma mweni kule kwa Evarist Chahali wanaliitaSentensi yako ya mwisho itatulazimisha tuhoji zaidi huo Urais wake huko Kisiwani kuliko Kuguswa na Kifo chake hiki Mkuu.
Bila shaka kuna weng watakaozaliwa mwez huu, kwahiy ni mtindo wa huyu kutoka yule kuingia. Usishangae kesho ikawa kati ya mmoja wetu kuondoka ili kupisha mungin kujaDah huu Mwaka huu 2019 hatari sana..
Dooh.. ndo maana wengine alikua anawasahau jamani.Jamaa alikuwa kiborodinda hatari anawatoto akiamua kila mmoja kumpa mkoa wake inatimia na wanabaki
Basi huyo mtoto amuulize vizur mama yake, huenda kuna baba mungin wa damu kinyume na huyu marehem, so pengin mzee alilijua hilo mapema akaamua kukaa pembenHapo kwenye watoto wengu. Mmoja wapo ni rafiki yangu. Aiseee. Anasema hata hajui alie au afanye nini maana huyu mzee hajawahi kuwa kwenye maisha yake na alikua hataki kumtambua kama mwanae.
Mwenyewe nilishawahi kupakaziwa mtoto enzi za ujana, nilikuwa na umri wa miaka 19 tu. Nikakataa katakata. Yule binti alipoona hakieleweki akapeleka tumbo kwa mwingine, naye pia akakataa lakini binti akamng'ang'ania hadi kadi ya kliniki akamuandika. Mtoto akazaliwa, sasa hivi ni mtu mzima na anafanana kabisa na yule jamaa wa pili, japo yule mama yake aliolewa na mtu mwingine.Basi huyo mtoto amuulize vizur mama yake, huenda kuna baba mungin wa damu kinyume na huyu marehem, so pengin mzee alilijua hilo mapema akaamua kukaa pemben
HAPANA mkuu Mauritius ni kisiwa kikubwa sanasana tu, ni hivi visiwa vidogovidogo vipo km vi5 hivi, shelisheli Ngazija na wenzake ambao mpaka leo wanagombana utawala, JWTZ waliombwa kwenda tuliza ghasia kwani uchaguzi ulishindikana, baada ya kumuweka Rais akarudiOoor, thanks mkuu, ni kweli