Bro ametuachia Janga kubwa sana, sababu tu ni Upendo wake kwetu

on point huyu ndugu mtoa post hadi hapa inaonekana tayari anachuki na makasiriko juu ya mtoto wa marehem kaka yake na bad usikute dogo mzee wake alimuachia mali nying na jamaa wamemtaifisha kwa kumhadaa kuwa ndio amekuziwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mali za baba yake hakuna hata moja iliyoguswa. Mtu wa miaka 24 ni mtu ambaye tuliamua ajisimamie mwenyewe isipokuwa akiona anashindwa. Makasiriko yapo sana.... Toto ni bwege sana. Lijinga nami sipendi mitoto mijinga.shule liliacha form six ada imelipwa yote
 
Ametuachia toto Jinga sana. Tumelikuza limefika miaka 30 linataka oa. Tunaliuza umejipanga una tsh ngapi. Linasema halina hata shilling. Bwege kabisa fala,zumbukuku,topolo kabisa.

Tunaliambia sasa wewe unatakaje kuoa huna kitu. Nenda kajipange...linalia kuwa angekuwepo baba yake angeliozesha.so linapata taabu sababu baba yake hayupo. Kilaza,kiazi,kimburukutu,zebwa kabisa.

Linashinda tu kula chips mayai na kujaza kitambi huku limefuga ndevu kama beberu.halihangaiki kwa lolote. Na kumbe linapewa michango na wenzie linakula. Tunashukuru tu nyumba liliachiwa na baba yake.

Ukilishauri tu jambo ambalo ni la kukaza linaangua kilio...kuwa kama angekuwepo baba.... Mimi nawaambia ndugu tuachaneni nalo wananambia watu wataona tumwacha sababu bro amefariki.

Lilivyo jinga lina take hiyo advantage....bwege ,bulldozer,fala,kichomi ,kichefuchefu kabisa....

Sometime tunasema heri bro angebaki.yeye.... aaaarrgh...tusameheane tu.
Aisee
 
Mie nimefiwa na wazazi wangu wote wawili ningali mdogo na sikuachiwa hata hatua mbili za kiwanja, na nilikuwa napiga kazi za kufa mtu pale hom,na bado naonekana mimi mbwa, nilipomaliza tu darasa la saba nikaingia mtaani rasmi kukimbizana na life, yani kuna watu wana bahati sana hapa duniani
Darasa la 7 upo mtaani??Haukuwahi lawitiw@?
 
We mchele mchele mboga saba ugali kitenesi unaleta dharau kisa baba yako alikupeleka st Mary's,
Maisha tunatofautina duniani, hata sie tulipenda tuishi kama wewe isipokuwa wazee walitangulia mapema mbele ya haki na familia ilikuwa choka mbaya, so acha dharau kisa uko nyuma ya keyboard mtoto wa kota, yani wewe na huyu jamaa anayezungumziwa kwenye uzi mpo sawa sawa, kila kitu mnataka mfanyiwe na kutuona sie tunaohaingaika wenyewe mtaani wajinga.
 
Atakama mtoto wa la7 kulanda mtaani bado Mdogo Sana...pole Sana Mzee Ndo life lakn,, nlkuwa nauliza Tu maana wale wafiraji sio watu wazuri...sio Kwa Nia mbaya lakini
 
Inaonekana ndo michezo yako hiyo kufilwa mana kinachozungumziwa na hizo mada wala haziingiliani,, najua watoto wengi mliolelewa kwapani mnapenda sana kukanyagwa tena sometimes mnatufuata sie wa uswahilini mixa kutuhonga ili tu tuwabandue
 
Inaonekana ndo michezo yako hiyo kufilwa mana kinachozungumziwa na hizo mada wala haziingiliani,, najua watoto wengi mliolelewa kwapani mnapenda sasa kukanyagwa tena sometimes mnatufuata sie wa uswahilini mixa kutuhonga ili tu tuwabandue
Samahan Bro unaongea Sana kama Khadija kopa, lakini fact inabaki pale pale mtoto wa la7 Dunia hii ya leo kulanda mtaani lazima abakwe
 
Duniani ya leo hivi we unanijua mimi wa kizazi gani? Unanijua mimi hilo darasa la saba nimemaliza mwaka gani? Hii ndio tabu ya jf watu kutumia I'd fake,,, ila siku moja mpaka unikute na mama yako mzazi ndani ana upande wa khanga tu nadhani ndo utaniheshimu,,,,
 
Ametuachia toto Jinga sana. Tumelikuza limefika miaka 30 linataka oa. Tunaliuza umejipanga una Tsh ngapi. Linasema halina hata shillingi. Bwege kabisa fala, zumbukuku, topolo kabisa.

Tunaliambia sasa wewe unatakaje kuoa huna kitu. Nenda kajipange linalia kuwa angekuwepo baba yake angeliozesha. So linapata taabu sababu baba yake hayupo. Kilaza, kiazi, kimburukutu, zebwa kabisa.

Linashinda tu kula chips mayai na kujaza kitambi huku limefuga ndevu kama beberu. Halihangaiki kwa lolote. Na kumbe linapewa michango na wenzie linakula. Tunashukuru tu nyumba liliachiwa na baba yake.

Ukilishauri tu jambo ambalo ni la kukaza linaangua kilio kuwa kama angekuwepo baba.... Mimi nawaambia ndugu tuachaneni nalo wananambia watu wataona tunamwacha sababu bro amefariki.

Lilivyo jinga lina take hiyo advantage....bwege, bulldozer, fala, kichomi, kichefuchefu kabisa....

Sometime tunasema heri bro angebaki yeye.... aaaarrgh...tusameheane tu.
Nimeona sehemu umemuita "bulldozer"!Tafadhali,hilo jina tulimpa mtukufu.Lifute kwa maslahi manene ya nchi.Natania.😝😝😝😝
 
Duniani ya leo hivi we unanijua mimi wa kizazi gani? Unanijua mimi hilo darasa la saba nimemaliza mwaka gani? Hii ndio tabu ya jf watu kutumia I'd fake,,, ila siku moja mpaka unikute na mama yako mzazi ndani ana upande wa khanga tu nadhani ndo utaniheshimu,,,,
Dunia ya leo, kizazi cha nyoka kimeanza Enzi Za yesu
Au wewe umezaliwa BC?
 
We mchele mchele mboga saba ugali kitenesi unaleta dharau kisa baba yako alikupeleka st Mary's,
Maisha tunatofautina duniani, hata sie tulipenda tuishi kama wewe isipokuwa wazee walitangulia mapema mbele ya haki na familia ilikuwa choka mbaya, so acha dharau kisa uko nyuma ya keyboard mtoto wa kota, yani wewe na huyu jamaa anayezungumziwa kwenye uzi mpo sawa sawa, kila kitu mnataka mfanyiwe na kutuona sie tunaohaingaika wenyewe mtaani wajinga.
Mpuuzie katakuwa katoto legelege ka mama

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Ametuachia toto Jinga sana. Tumelikuza limefika miaka 30 linataka oa. Tunaliuza umejipanga una Tsh ngapi. Linasema halina hata shillingi. Bwege kabisa fala, zumbukuku, topolo kabisa.

Tunaliambia sasa wewe unatakaje kuoa huna kitu. Nenda kajipange linalia kuwa angekuwepo baba yake angeliozesha. So linapata taabu sababu baba yake hayupo. Kilaza, kiazi, kimburukutu, zebwa kabisa.

Linashinda tu kula chips mayai na kujaza kitambi huku limefuga ndevu kama beberu. Halihangaiki kwa lolote. Na kumbe linapewa michango na wenzie linakula. Tunashukuru tu nyumba liliachiwa na baba yake.

Ukilishauri tu jambo ambalo ni la kukaza linaangua kilio kuwa kama angekuwepo baba.... Mimi nawaambia ndugu tuachaneni nalo wananambia watu wataona tunamwacha sababu bro amefariki.

Lilivyo jinga lina take hiyo advantage....bwege, bulldozer, fala, kichomi, kichefuchefu kabisa....

Sometime tunasema heri bro angebaki yeye.... aaaarrgh...tusameheane tu.
Mleta hana lolote ndo Wale Wale wazee wa kutafuna mali za marehemu hapo alipo anatamani tuu Dogo afee ili apate mwanya atafune mali za marehemu

Kama Dogo kaachiwa mali na nyumba inakuwaje mnashidwa kutoa mwongozo ajipange vipi aoweeee
 
Ametuachia toto Jinga sana. Tumelikuza limefika miaka 30 linataka oa. Tunaliuza umejipanga una Tsh ngapi. Linasema halina hata shillingi. Bwege kabisa fala, zumbukuku, topolo kabisa.

Tunaliambia sasa wewe unatakaje kuoa huna kitu. Nenda kajipange linalia kuwa angekuwepo baba yake angeliozesha. So linapata taabu sababu baba yake hayupo. Kilaza, kiazi, kimburukutu, zebwa kabisa.

Linashinda tu kula chips mayai na kujaza kitambi huku limefuga ndevu kama beberu. Halihangaiki kwa lolote. Na kumbe linapewa michango na wenzie linakula. Tunashukuru tu nyumba liliachiwa na baba yake.

Ukilishauri tu jambo ambalo ni la kukaza linaangua kilio kuwa kama angekuwepo baba.... Mimi nawaambia ndugu tuachaneni nalo wananambia watu wataona tunamwacha sababu bro amefariki.

Lilivyo jinga lina take hiyo advantage....bwege, bulldozer, fala, kichomi, kichefuchefu kabisa....

Sometime tunasema heri bro angebaki yeye.... aaaarrgh...tusameheane tu.
Hahahaha daah umejua kumdhihaki vya kutosha mkuu. Km vip mpeni anachotaka ndoa inapangwa mbinguni kila mtu na rizk yake
 
Back
Top Bottom