Bro ametuachia Janga kubwa sana, sababu tu ni Upendo wake kwetu

Mtoto wa mwenzio kichupa cha Nyeg** kishajaa huyo , asije akaba akaangukia pabaya bureee
 
Mie sie bro wako,, mie baba ako kwa huo tu muandiko wako na dalili zote za ushoga unazo,, watafute vijana wenzio hapa umekosea njia labda wanawza wakakuza
Wewe unataka heshima halafu hapohapo huna heshima....madhara ya mtoto wa la7 Kuwa mtaani Ayo.
 
Mleta hana lolote ndo Wale Wale wazee wa kutafuna mali za marehemu hapo alipo anatamani tuu Dogo afee ili apate mwanya atafune mali za marehemu

Kama Dogo kaachiwa mali na nyumba inakuwaje mnashidwa kutoa mwongozo ajipange vipi aoweeee
Sasa wewe mbona jamaa yako si marehemu na watu wanakutafuna? Au tayari alishafariki?
 
Hahahaaaaa kama sie vilevileeee, nilidhan tupo wenyewe. Brother alitangulia mbele za haki 2009.Sasa bwana ametuachia hilo totooo,kwanza halitaki shule jinga lile.Limesoma hadi form 4 likafeli, sasa tunaliambia urudi kupambana shule halitaki.Linataka mambo makubwaaaaa ambayo yanahitaji elimu.Sujui anadhani ni wanapewa tu?

Ni majinga sana haya matoto mkuu. Fanya yako litajua lenyewe huko shenzi.Sie tumeliacha tu.
 
Members wengi sijui kwa nini wanakuwa emotional, au ndio kusema wengi wamezoea comfort lies na kuepuka bitter truth.

Hauwezi ukawa unaongea na mwanao wa kiume, mdogo wako ambaye kwenye mambo muhimu ya maisha anazingua kwa kutumia lugha ya kubembeleza huku ukijua madhara yatayompata mbeleni ni makubwa.

Mbona tough love kiumeni kawaida tu.
 
Kweli Hamza aliua watu ambao sio stahili kabisa akaacha upupu!
 
Mleta hana lolote ndo Wale Wale wazee wa kutafuna mali za marehemu hapo alipo anatamani tuu Dogo afee ili apate mwanya atafune mali za marehemu

Kama Dogo kaachiwa mali na nyumba inakuwaje mnashidwa kutoa mwongozo ajipange vipi aoweeee
Halafu mbaya zaidi wanang'ang'ania kukaa katika nyumba hiohio ya marehemu,
Dogo alivyomjanja anataka kuoa ili wampishe kwenye nyumba ndio maana povu linawatoka.
 
La saba mbona mdogo sana mkuu?,hawakukuoa kweli?
 
Nimejikuta ninacheka kwa sauti ndani ya daladala! Mleta mada umemaliza maneno yooote ya kututhibitishia upoyoyo,ufalalendi na uzabwa wa huyo mtoto wa kaka
 
nmekumbuka kile gari limeandikwa YATIMA HADEKI
 
Sasa wewe mbona jamaa yako si marehemu na watu wanakutafuna? Au tayari alishafariki?
Wee jamaa ni fala sana instead ya kuanzisha uzi ya kuomba ushauli jinsi gani ya kumsaidia Mtoto wa mwenzio unaanzisha uzi wa kumsema vibaya mtoto wa mwenzio

wee jamaaa ubongo wako kichwani umejaaa mikojo na moyo wa chuki dhidi ya Mtoto wa marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…