Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

Haujachelewa kuanza upya, kama walio kujeruhi wakingali basi waombee maisha marefu ili sikumoja wakuone ukiimarika na kua mpya tena mkuu..☺️
 
Na ukiyafanya hayo nina hakika utapona na kurudi katika hali yako tena mkuu....
AMEN...πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…