TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

I remember a lot of moment abt brother lyimo...my head master.
Alikuwa anapenda sana hesabu...kwa wale wa pcm wanaelewa....,pia alikuwa anapenda sana wanafunzi wasome..vitatu kama vile tranter,bostock kwa pcm...
 
ina maana mr. Almas yule ambaye mke wake naye alikuwa teacher hapo naye alifariki?
 
Hao wote ni walimu waliorest in peace au sijaelewa
 
Kwa jinsi nisivyo kufagilia nilitamani kuandika jambo gumu sana.

Muache marehemu
 
Brother lyimo alikuwa anapenda sana kutembea Na kiboko...kwa ajili ya notorious student..wanao doji...Na wale wanao ruka trench....soo many things abt brother lyimo...our legend..
 
Hakua mpigaji
Hakumuonea mtu
Hakumuibia mtu
Hakuvunja nyumba ya mtu
Hakuharibu biashara za watu
Lengo lake lilikua kuinua Maisha ya wanyonge.
Sio Hawa vidudu mtu waliokuja duniani kuwapa wengine machungu
Naona umufufue akuone sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…