Dah,umenikumbusha mbali sana. Kuna Mr James wa English alikuwa na mikwara yake...Kichawele na usemi wake wa "jampu kifrogi frogi"...Teriteri alivyokuwa hapendi wanafunzi wa kike...Mkumbwa na tukio la trench town..! Kweli Majengo kulikuwa hakuboi, ni tukio baada ya tukio😅Da aisee huyu mwalimu ndo alinifanya leo kuwa baba mzuri wa familia pia na huu mkate ninao upata kwa sasa ni matunda ya usimamizi wake mzri. Mwl mwingine ni MKUMBWA KICHAWELE', SENDORO,SAFARI Kuna mmoja anaitwa TERITERI. RIP brother
Aamen.
Kuanzia nimeanza shule nimetunza documents zangu zote hadi leo tena kwa hali ya usafi.
Check receipt niliyofanyia malipo term moja baada ya kupewa kibali na Brother PL.View attachment 1643975
NdiyoDuuuh Kwan na Mzee Rama Alifariki ?
Jamal Sambeke ndo mtoto wa Bob Sambeke(baba)Jamal Sambeke na Bob Sambeke ni ndugu? Yule jamaa alikufaga na ajali ya ndege Arusha.
Jamal naskia amepanda cheo ,ameshafikia major?View attachment 1643947
Yule kijana wa Peter Malya?
Mama D lazima ulikua unakula kuku moshi[emoji16][emoji16][emoji16]Students!!!!
Naikumbuka sauti yake
Rama yupo,mzee Ali ndo alifarikiMoyo wangu umehuzunika sana kwa kifo cha Mwlm wangu mpendwa Bro. Peter Lyimo, pumzika kwa amani mwalimu. Ntabaki nakumbuka usemi wako mkubwa wa "Punctuality in the morning" nawaza pia kama mzee Rama naye (mlinzi wa getini) angekuwa hai vile ambavyo angelia kwa uchungu kwa jinsi ulivyokuwa kipenzi chake
Mr Almas alikua akitibiwa muhimbili hadi alipofarika. Alikua mpole sana yule baba. Mkubwa mwenye chemistry yake🙏Nimesikitika zaidi kujua pia Mr Almas na Mkumbwa hatupo nao tena, Mr Almas mbobezi ya Somo LA Biolojia, Mkumbwa mbobezi wa Kemia, wote nimepita mikononi mwao. Wapumzike kwa amani
Mama D lazima ulikua unakula kuku moshi[emoji16][emoji16][emoji16]
Kuku moshi ni kile cha arusha,maana watoto wengi wa majengo walikua wanakitumiaBrother Lyimo alikua akitukuta tunajisomea madarasani weekend anampigia sim brother anayehusika na maakuli kule brothers centre tunaletewa vyuku.
Alale salama kazi aliyotumwa aliifanya sawasawa
Kule Trenchtown🐾🐾Kuku moshi ni kile cha arusha,maana watoto wengi wa majengo walikua wanakitumia
Ukweli MtupuComment zote za kistaarabu.
Kweli teaching is a noble profession. Ingekua polisi au yule asiyependwa na wengi ingekua sio msiba bali kibali cha beer, kitimoto yaani Xmas ingeshaanza.
Tujifunze kutenda mema. Haina maana kuwaumiza watu kisa tu una madaraka. Dunia yenyewe tunapita tu.
due nimeipenda hiiHakua mpigaji
Hakumuonea mtu
Hakumuibia mtu
Hakuvunja nyumba ya mtu
Hakuharibu biashara za watu
Lengo lake lilikua kuinua Maisha ya wanyonge.
Sio Hawa vidudu mtu waliokuja duniani kuwapa wengine machungu
Wanakuja wajuviHivi huwa kuna tofauti gani kati ya heart attack na cardiac arrest?
Nawewe fanya vivyo hivyodue nimeipenda hii
Tayari walishajibu hapa kwenye post #94Wanakuja wajuvi
Duuh!!!!mkubwa alifarik lin tena??Majengo secondary School taasisi ambayo watumishi wake hawakuwahi kuwa na wazo la kuacha kazi wala kutafuta kazi sehemu nyingine.
Management iliyowajali sana watumishi na watumishi wakawajali sana wateja wao wanafunzi
Mungu awapumzishe kwa amani, Tutawakumbuka daima[emoji120]
Brother Peter Lyimo RIP
Brother Pius Kihuru RIP
Mr Mgimwa RIP
Mr Nyindo RIP
Mr Sendoro RIP
Mr Almas RIP
Mr Mkumbwa RIP
Chef mkuu Mr James RIP
Mudaa kama miaka2 au 3Duuh!!!!mkubwa alifarik lin tena??