BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

Ndio kabisa walikuwa wanatumia kile kitendo cha mbowe yuko jela kupata kiki kisiasa sasa hiv hawana cha kusema kabisa
 
Kwa hiyo Lissu kaombwa sana kwa baruaa akutane na RAIS
si ndio?
🤣🤣🤣🤣
 
Hii aione Ndugai na roho mbaya yake. Tundu Lissu anaenda kulipwa pesa zake zote za Ubunge. Ndugai na Magufuli hawa watu hawakuwa binadamu kabisa. Moja limefanyika bado lingine maana tunasikia anageuzwa tu kama chapati kitandani.
 
Serikali imeamua kukimbia na mpira uwanjani kesi ya baba ,Kaka ,mjomba ,babu wa taifa mbowe junior na makamandoo imekwisha ,BOAZ mtu muhimu kwenyekesi kalala mbele
 
Zitto Kabwe ni ccm

Tundu Lisu ni mpinzani.

Bado huoni tofauti hapo?
 
Ww utakuwa unazeeka vibaya,nani alimtuma akamuombee msamaha?
 
Mbona aliomba kukutana nae muda mrefu tu? Hakuna mtu aliyeumia kwa Zitto kukutana na Rais. Shida ilikuwa hotuba. Labda kama Lissu amemuombea msamaha Mbowe. Hapo kweli itakuwa unafik.

Amandla...
 
Shida maombi
 
Acha kujifanya hujui, ficha ujinga wako hapa JF.

Wewe fahamu tu, CHADEMA waliomba kukutana na Rais Samia takribani miezi kumi iliyopita, mpango huo ukaharibiwa na wale 'mafisi' wa CCM waliomzunguka Samia na mwisho wakamlisha Samia matango pori ya kuruhusu kesi ya michongo ya ugaidi kufunguliwa.

Baada ya kesi kuwa ngumu kwa serikali, mama Samia kupoteza uungwaji mkono ndani na nje ya nchi, imebidi sasa Samia abadilishe mkondo wa siasa zake. Mambo mawili yameshafanyika ndani ya masaa 48.

1. Kasitisha mwendelezo wa kuleta mashahidi wa jamhuri kwenye kesi ya ugaidi.

2. Kakutana na Lissu nchini Ubelgiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…