BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

Wasage chupa wanywe. Tunataka Amani. Waliokimbia nchi warejee. Walioteswa wapate faraja. Ninatamani siku Moja Mh. Rais azitembelee na kuzipa faraja zile familia zote ambazo watu wao walipotelea kusikojukikana. Japo wapewe hata kiasi cha fedha wajenge maisha Yao maana ndugu zao ndiyo walishapotezwa. Nikiwaza hii kama mtu mzima mwenye watoto na wajukuu najikuta mwanaume mzima ninalia. Rest in Peace Wherever you are Hero's😭😭😭
Ndio kabisa walikuwa wanatumia kile kitendo cha mbowe yuko jela kupata kiki kisiasa sasa hiv hawana cha kusema kabisa
 
CHADEMA huwa hairidhii Bali inafuatwa yenyewe. Rais kaenda mwenyewe ubelgiji na kukutana makamu wa CHADEMA. Maridhiano sio ACT Bali Ni CUF ndio waliingia na CCM na wananchi kupiga kura kukubali serikali ya umoja wa kitaifa. ACT amekuta kila kitu mezani.
Kwa hiyo Lissu kaombwa sana kwa baruaa akutane na RAIS
si ndio?
🤣🤣🤣🤣
 
Hii aione Ndugai na roho mbaya yake. Tundu Lissu anaenda kulipwa pesa zake zote za Ubunge. Ndugai na Magufuli hawa watu hawakuwa binadamu kabisa. Moja limefanyika bado lingine maana tunasikia anageuzwa tu kama chapati kitandani.
 
Hiii habari chungu sana kwa Bavicha
Bavicha kindaki ndaki kama huyu?

IMG_20220216_212136_442.jpg
 
Serikali imeamua kukimbia na mpira uwanjani kesi ya baba ,Kaka ,mjomba ,babu wa taifa mbowe junior na makamandoo imekwisha ,BOAZ mtu muhimu kwenyekesi kalala mbele
 
Hili kundi la Maria na MMM na wenzao wa kwenye Maspace leo ndo unafiki wao umetamalaki. Kumbe ZZK kukutana na Rais siku ile ya kongamano la TCD iliwauma. Leo Lissu kakutana na Mhe. Rais tena kwa yeye Lissu kuomba wacha uone anavyosifiwa. Haya majamaa ni makanjanja sana. Yaani bure kabisa.
Zitto Kabwe ni ccm

Tundu Lisu ni mpinzani.

Bado huoni tofauti hapo?
 
Hili kundi la Maria na MMM na wenzao wa kwenye Maspace leo ndo unafiki wao umetamalaki. Kumbe ZZK kukutana na Rais siku ile ya kongamano la TCD iliwauma. Leo Lissu kakutana na Mhe. Rais tena kwa yeye Lissu kuomba wacha uone anavyosifiwa. Haya majamaa ni makanjanja sana. Yaani bure kabisa.
Ww utakuwa unazeeka vibaya,nani alimtuma akamuombee msamaha?
 
Hili kundi la Maria na MMM na wenzao wa kwenye Maspace leo ndo unafiki wao umetamalaki. Kumbe ZZK kukutana na Rais siku ile ya kongamano la TCD iliwauma. Leo Lissu kakutana na Mhe. Rais tena kwa yeye Lissu kuomba wacha uone anavyosifiwa. Haya majamaa ni makanjanja sana. Yaani bure kabisa.
Mbona aliomba kukutana nae muda mrefu tu? Hakuna mtu aliyeumia kwa Zitto kukutana na Rais. Shida ilikuwa hotuba. Labda kama Lissu amemuombea msamaha Mbowe. Hapo kweli itakuwa unafik.

Amandla...
 
Hili kundi la Maria na MMM na wenzao wa kwenye Maspace leo ndo unafiki wao umetamalaki. Kumbe ZZK kukutana na Rais siku ile ya kongamano la TCD iliwauma. Leo Lissu kakutana na Mhe. Rais tena kwa yeye Lissu kuomba wacha uone anavyosifiwa. Haya majamaa ni makanjanja sana. Yaani bure kabisa.
Shida maombi
 
Acha kujifanya hujui, ficha ujinga wako hapa JF.

Wewe fahamu tu, CHADEMA waliomba kukutana na Rais Samia takribani miezi kumi iliyopita, mpango huo ukaharibiwa na wale 'mafisi' wa CCM waliomzunguka Samia na mwisho wakamlisha Samia matango pori ya kuruhusu kesi ya michongo ya ugaidi kufunguliwa.

Baada ya kesi kuwa ngumu kwa serikali, mama Samia kupoteza uungwaji mkono ndani na nje ya nchi, imebidi sasa Samia abadilishe mkondo wa siasa zake. Mambo mawili yameshafanyika ndani ya masaa 48.

1. Kasitisha mwendelezo wa kuleta mashahidi wa jamhuri kwenye kesi ya ugaidi.

2. Kakutana na Lissu nchini Ubelgiji.
 
Back
Top Bottom