BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

Tumbua huyo DAS hafai kabisa. Sisi tunajenga nchi wao wanabomoa. Hawa hauko naonpamoja. Ni Moja ya Ile team Dictator aliyeko Motoni akiungua Sana.

Bavicha mwenyewe ni huyu hapa katika ubora wake:

 
Haiwezekani kwa mtu anayejielewa kuendelea kuwa katili kwa mwenzio aliyefanya jambo jema ambalo umekuwa ukilipigia kelele miaka zaidi ya mitano iliyopita, ukifanya hivyo wastaarabu watakushangaa.
 
Siasa za Bongo hatari, sasa hivi wafuasi wa Chadema na Lissu wanashangilia, wafuasi wa Lumumba na Hangaya nao wanashangilia pia. Wanasiasa wanajua akili zetu na wanazichezea watakavyo.
 
Waliokuwa wanalisha familia zao kwa kuchangisha wananchi kwa ajili ya kesi ya Mbowe sijui Wana hali gani
Wamefurahi sana since jana baada ya mawakili wa serikali kushindwa kuleta mashahidi 11 akiwepo Boaz aliyeogopa kutapishwa damu kizimbani.
 
Ndo akili zenu,ccm masalia hizi
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungu na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tindu Lissu...

Dili la kumtoa ni lipi? Asidai katiba mpya hadi utawala wa SSH uishe, akidai katiba mpya atafungwa tena.

Au dili ni anaweza kuendelea kufanya makongamano ya kudai katiba mpya kama kawaida na pia kukosoa serikali, demokrasia ya ukweli na serikali itakuwa tayari kukosolewa?
 

Bora yake aende ACT au mama ampangie kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…