Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Kukutana na Rais ni kupiga magoti. Tumia akili yako kufikiri vizuri wewe. UsikaririHatimaye Lissu kapiga magoti, huwezi shindana na raisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukutana na Rais ni kupiga magoti. Tumia akili yako kufikiri vizuri wewe. UsikaririHatimaye Lissu kapiga magoti, huwezi shindana na raisi
Tumbua huyo DAS hafai kabisa. Sisi tunajenga nchi wao wanabomoa. Hawa hauko naonpamoja. Ni Moja ya Ile team Dictator aliyeko Motoni akiungua Sana.
nimeyapenda mabuti ya lissu
Kivipi.mi nadhani wana lumumba ndio wanaliaHiii habari chungu sana kwa Bavicha
Nairobi pia alienda kumsabahi mama kumfata lisu sioleo akiwa amesimama toka akiwa kitandaniInamaana ssh kamfuata lissu Belgium au mimi labda sielewi!
CCM inapokubali kukutana na magaidi hapo ndipo tabu ilipo kwa wana CCM. Ndivyo walivyoaminishwa.sasa hapo UVCCM inapata tabu gani
hapo BAVICHA ndiyo mtiti wazee wa fujo
Wamefurahi sana since jana baada ya mawakili wa serikali kushindwa kuleta mashahidi 11 akiwepo Boaz aliyeogopa kutapishwa damu kizimbani.Waliokuwa wanalisha familia zao kwa kuchangisha wananchi kwa ajili ya kesi ya Mbowe sijui Wana hali gani
Ndo akili zenu,ccm masalia hiziWale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini. Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza, Sasa Lissu anafata muelekeo wa ZZK, anaachana na Chadema wenye mawazo mgando, ya kizamani, wanaimba katiba tu kama kasuku, mwenzao anaozea jela, wao wanakusanya Hela wanagawana.
Kama nyie wanaume mshambulieni Lissu mitandaoni tuone
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungu na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tindu Lissu...
Wale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini. Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza, Sasa Lissu anafata muelekeo wa ZZK, anaachana na Chadema wenye mawazo mgando, ya kizamani, wanaimba katiba tu kama kasuku, mwenzao anaozea jela, wao wanakusanya Hela wanagawana.
Kama nyie wanaume mshambulieni Lissu mitandaoni tuone
Mimi Bwashee huwa namkubaligi hata postinzake huwa siziruki, japo kuna muda huwa anajitoa ufahamu ila najua ni sawa kuofautiana.Bwashee wacha leo nikupe like